Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu kesi ya ujangili ‘kiini macho’

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Kilimanjaro, jana imemhukumu raia wa Pakistan Ahmed Kamran kifungo cha miaka 60 jela baada ya kumtia hatiani kwa makosa manne ikiwamo kusafirisha twiga wanne hai kwenda Qatar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hiki kiini macho au mazingaombwe?

Mchezo wa ligi ya mabingwa mieleka duniani ulikamata hisia za wengi enzi za akina Hulk Hogan na John Seiner. Ilikuwa vigumu sana kumtoa mtu wa rika yoyote kwenye TV mara shindano lilipoanza. 

 

10 years ago

Mwananchi

Mpango wa Elimu ya Msingi ni kiini macho

Kuanzia juzi, gazeti hili limechapisha makala kwa njia ya picha kuhusu hali ya kutisha na kufadhaisha iliyopo katika Shule ya Msingi ya Nyamarere, Kata ya Ikome katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, mkoani Geita.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kikwete utawala bora unaojivunia ni kiini macho

RAIS Jakaya Kikwete amesema kazi ya urais ni ngumu na anatamani amalize kipindi chake ili awe mtu huru kufanya mambo yake, ikiwamo kilimo, huku akiamini atapatikana Rais bora kuiongoza vizuri...

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi kapu zima, utekelezaji kiini macho

Mara nyingi viongozi wa klabu na vyama vya soka nchini wamekuwa wakilalamikiwa kutokana na namna wanavyoongoza. Utawala mbovu usiosima kwenye mistari ya katiba za vyama au klabu umekuwa kiini cha migogoro ya mara kwa mara.

 

11 years ago

Habarileo

Diwani: Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa ni kiini macho

DIWANI wa Kata ya Kaengesa, Ameir Nkurlu amedai mpango wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa ni kiini macho, hauwezekani kutekelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti hii isiwe kiini macho kwa wananchi

Jana Waziri wa Fedha, Saada Mkuya aliwasilisha bajeti kuu ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2015/16.

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania yatajwa tena kama kiini cha ujangili

Ndovu wa Afrika wako katika hatari ya kumalizwa kwa kutokana na ujangili.Tanzania imetajwa kwa mara nyingine kama moja ya nchi ambako ndovu wanauawa kwa wingi kwa ajili ya biashara za pembe. Wachunguzi wa kimataifa waliotumia DNA kutoka pembe za ndovu ili kutambua chanzo chake wametaja maeneo mawili ambapo mauaji ya ndovu yanafanyika kwa kiwango kikubwa.

Matokeo ya utafiti yaliyochapishwa Alhamisi yanaonyesha maeneo hao mawili ni Tanzania, ikifuatiwa na eneo la nchi kadha katika eneo la magharibi ya kati barani Afrika.

Samuel Wasser, mmoja wa waandishi wa ripoti...

 

10 years ago

Vijimambo

HUKUMU KESI YA KESI KISUTU


NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.

Hayo yalithibitishwa leo kupitia hukumu iliyosomwa na Hakimu Mkazi Frank Moshi kwa niaba ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, ambaye alisikiliza kesi ya kughushi inayomkabili Macha.

Katika kesi hiyo, Macha alikuwa akikabiliwa na mashitaka matatu ya kughushi hati ya umiliki wa kiwanja kilichopo eneo ya Kigogo, Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hukumu kesi ya Kibanda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani