Tanzania yatajwa tena kama kiini cha ujangili
Tanzania imetajwa kwa mara nyingine kama moja ya nchi ambako ndovu wanauawa kwa wingi kwa ajili ya biashara za pembe. Wachunguzi wa kimataifa waliotumia DNA kutoka pembe za ndovu ili kutambua chanzo chake wametaja maeneo mawili ambapo mauaji ya ndovu yanafanyika kwa kiwango kikubwa.
Matokeo ya utafiti yaliyochapishwa Alhamisi yanaonyesha maeneo hao mawili ni Tanzania, ikifuatiwa na eneo la nchi kadha katika eneo la magharibi ya kati barani Afrika.
Samuel Wasser, mmoja wa waandishi wa ripoti...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Hukumu kesi ya ujangili ‘kiini macho’
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Sekta ya Viwanda: Kiini cha maendeleo Tanzania
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7zRtwDA0Shs/VQ_hgtHGS6I/AAAAAAAHMWE/Ls4U0PVIKi4/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...
10 years ago
Habarileo01 May
Sumatra kiini cha ajali barabarani
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema ajali za barabarani zinachangiwa na uzembe wa taasisi inayosimamia sekta ya usafiri jambo linalogharimu maisha ya watu wasio na hatia, na kuitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na kuhakikisha nidhamu inarejea kwenye sekta hiyo.
11 years ago
Habarileo18 Mar
Kiini cha majengo mabovu chatajwa
UKWEPAJI wa gharama za ujenzi wa nyumba, unadaiwa kuchangia kuwepo majengo yasiyo na ubora katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
10 years ago
Habarileo01 Jan
Mitandao kiini cha wanafunzi kufeli
IMEELEZWA kuwa chanzo cha wanafunzi wengi kufeli masomo yao ni kutokana na kutumia muda wao mwingi kwenye masuala ya utandawazi, hasa mitandao, badala ya kujisomea.
11 years ago
Habarileo07 Jan
Aeleza kiini cha ajali ya MV Kilimanjaro
MAWASILIANO duni kati ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na nahodha wa meli ya MV.Kilimanjaro 11, yanadaiwa kwa kiasi kikubwa yamechangia vikosi vya uokozi, kushindwa kufika katika eneo la ajali kwa haraka.
11 years ago
BBCSwahili23 Mar
Ebola ni kiini cha ugonjwa hatari Guinea
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Kombe la Dunia lisiwe kiini cha michepuko
MACHO na masikio ya mamilioni ya watu duniani kote kwa sasa yako kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil, ambako jumla ya nchi 32 zinachuana kumpata mfalme mmoja tu...