Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumatra kiini cha ajali barabarani

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema ajali za barabarani zinachangiwa na uzembe wa taasisi inayosimamia sekta ya usafiri jambo linalogharimu maisha ya watu wasio na hatia, na kuitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na kuhakikisha nidhamu inarejea kwenye sekta hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Aeleza kiini cha ajali ya MV Kilimanjaro

MAWASILIANO duni kati ya Mamlaka ya Usafiri wa Baharini na nahodha wa meli ya MV.Kilimanjaro 11, yanadaiwa kwa kiasi kikubwa yamechangia vikosi vya uokozi, kushindwa kufika katika eneo la ajali kwa haraka.

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania, Bi. Rosalynn Mworia  kwa niaba ya kampuni yake  kwa kuwa mdau mkubwa wa  kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama  iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia kwaniaba ya kampuni yake kwakuwa mdau mkubwa wa kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani.Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga. ...

 

11 years ago

Michuzi

SUMATRA YAWATAKA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KUKAMATA MABASI YANAYOSIMAMA KUCHIMBA DAWA OVYO PORINI

          Mwanasheria mkuu  wa  SUMATRA Bi Leticia Mutaki  Bw  Mpina wa Sumatra  makao  makuu  akifafanua  jambo wakati wa semina elekezi  kwa askari wa usalama barabarani Watenda kazi  wa Sumatra  Iringa  wakiwa na mwanahabari wa TBC Taifa  Iren Mwakalinga  kulia  wakifuatilia  semina  hiyo.
..................................................... ASKARI  wa usalama barabarani  nchini  wamepewa  rungu  la kuwakamata  madereva  wa mabasi ya abiria na magari mengine  ambayo yatapatikana...

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra waanza kudhibiti nauli, ajali

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeanza mikakati ya kudhibiti kupandishwa kwa nauli wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka nchi nzima pamoja na kudhibiti ajali.

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao kiini cha wanafunzi kufeli

IMEELEZWA kuwa chanzo cha wanafunzi wengi kufeli masomo yao ni kutokana na kutumia muda wao mwingi kwenye masuala ya utandawazi, hasa mitandao, badala ya kujisomea.

 

11 years ago

Habarileo

Kiini cha majengo mabovu chatajwa

UKWEPAJI wa gharama za ujenzi wa nyumba, unadaiwa kuchangia kuwepo majengo yasiyo na ubora katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola ni kiini cha ugonjwa hatari Guinea

Wanasayansi nchini Ufaransa wasema virusi vya Ugonjwa wa Ebola ndio chanzo cha ugonjwa wa homa ya Haemorajic nchini Guinea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani