JK ALIPOIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-NhKahdpjxVU/VciKFmbY0zI/AAAAAAAHvrw/QfIa_iJbuGU/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rosalynn Mworia kwa niaba ya kampuni yake kwa kuwa mdau mkubwa wa kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4ANJrehjqaE/Xt5TQk6TOFI/AAAAAAALtGE/jKONFlf3cjYy0LaoL99kDOlMXjDg_w_-QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200608-WA0021-768x576.jpg)
STANBIC BANK INAJIVUNIA KUWA MDAU MKUBWA WA MEDANI YA SOKA DUNIANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-4ANJrehjqaE/Xt5TQk6TOFI/AAAAAAALtGE/jKONFlf3cjYy0LaoL99kDOlMXjDg_w_-QCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200608-WA0021-768x576.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/IMG-20200608-WA0024-1024x768.jpg)
NA MWAMVUA MWINYI, BAGAMOYO .
TAASISI ya kifedha ya Stanbic imejivunia,kuwa wadau wakubwa katika medani ya soka, wakigusia michuano mikubwa ya kombe la Dunia na Ligi Kuu ya nchini Uingereza.
Hatua hiyo ambayo benki hiyo imekuwa ikiichukua katika medani ya michezo hususani soka, imeelezwa kuwa kivutio kikubwa kwa mamilioni ya wapenda soka kutokana na kujitangaza kupitia mashindano hayo.
Hayo yalielezwa na meneja wa benki ya Stanbic nchini ,Richard Chenga kwa niaba ya Mkurugenzi, akizungumza na...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A2NJzilMat8/Uy-M2WibiNI/AAAAAAAAG2Q/OzCVBwai2Pk/s72-c/Makulilo2.jpg)
Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-A2NJzilMat8/Uy-M2WibiNI/AAAAAAAAG2Q/OzCVBwai2Pk/s640/Makulilo2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-O0G_uiMvGjY/XoMMyg0Cq8I/AAAAAAALlqI/YLsWnhWAC8wAmhkrqF3HuaufLNPmkrElgCLcBGAsYHQ/s72-c/5416940e-bf1a-43fc-98b3-610aca94b79c.jpg)
VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO, KUHAMASISHA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-O0G_uiMvGjY/XoMMyg0Cq8I/AAAAAAALlqI/YLsWnhWAC8wAmhkrqF3HuaufLNPmkrElgCLcBGAsYHQ/s640/5416940e-bf1a-43fc-98b3-610aca94b79c.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu (Tahliso) katika mkutano wa pamoja jijini Dodoma.
![](https://1.bp.blogspot.com/-SUXCsj5qhmc/XoMMxoLE7WI/AAAAAAALlqE/iG23k_Ig_FcxsiQhARsdIk6e9ix1gyAggCLcBGAsYHQ/s640/6945cc39-e4db-4b76-a28f-24c94f181f48.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akiwa katika picha ya pamoja na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (Tahliso).
Charles James, Globu ya Jamii
VIJANA nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika kufikia ndoto zao na siyo kukaa vijiweni wakilalamikia ugumu wa...
10 years ago
Michuzi26 Nov
10 years ago
VijimamboRITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA
10 years ago
GPLRITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
10 years ago
Habarileo01 May
Sumatra kiini cha ajali barabarani
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema ajali za barabarani zinachangiwa na uzembe wa taasisi inayosimamia sekta ya usafiri jambo linalogharimu maisha ya watu wasio na hatia, na kuitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na kuhakikisha nidhamu inarejea kwenye sekta hiyo.