Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA

RITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA  Ofisa Uhusiano wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Jafarri Malema (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli zinazofanywa na Rita na umuhimu wa cheti cha kuzaliwa. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Rita, Grace Kyasi. Ofisa Uhusiano wa Rita, Grace Kyasi akizungumza katika mkutano na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo.Wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA‏

 Ofisa Uhusiano wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Jafarri Malema (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli zinazofanywa na Rita na umuhimu wa cheti cha kuzaliwa. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Rita, Grace Kyasi.  Ofisa Uhusiano wa Rita, Grace Kyasi akizungumza katika mkutano na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo. Wafanyakazi...

 

11 years ago

GPL

CHETI CHA KUZALIWA CHENYE JINA LA YUSRAH CHAOKOTWA

Cheti cha kuzaliwa chenye jina la Yusrah (mwanaume) ambaye baba yake ni Khalid Suleiman Khalid, kimeokotwa na maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kipo Global Publishers Bamaga Mwenge,  Mwenye cheti afike na vitambulisho vyake kukichukua.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amezindua cheti cha Uhalisi wa madini ya Bati ambapo amesema uzinduzi huo ni muhimu kwa Taifa letu pamoja na nchi za maziwa makuu.

Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.

Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...

 

10 years ago

Vijimambo

CHETI CHA KUZALIWA CHA MISS TANZANIA KILITOLEWA SIKU 4 KABLA YA KAMBI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA KUANZA


Mkurugenzi wa kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kulia) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kilichoandikwa amezaliwa mwaka 1991 wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha: Omar Fungo

Sakata la umri halisi wa mrembo mpya wa Tanzania mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu bado linaendelea kuchukua sura mpya baada ya mshindi huyo wa taji la taifa kuwasilisha cheti cha kuzaliwa ambacho kimetolewa siku...

 

10 years ago

Bongo5

Madam Rita kuja na kipindi cha TV ‘Rita Paulsen Show’

Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Productions aliyejipatia umaarufu kwa kuanzisha mashindano ya Bongo Star Search, Rita Paulsen anatarajia kuja na kipindi chake cha runinga. Kipindi hicho kinaitwa ‘Rita Paulsen Show’. Rita ameshare habari hiyo njema kwenye akaunti yake ya Instagram na kwenye picha kuandika: The biggest revenge in this world is success#hard work.” Hadi sasa bado […]

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania, Bi. Rosalynn Mworia  kwa niaba ya kampuni yake  kwa kuwa mdau mkubwa wa  kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama  iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia kwaniaba ya kampuni yake kwakuwa mdau mkubwa wa kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani.Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga. ...

 

10 years ago

GPL

RITA YAWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA WANAFUNZI 15,120 ILALA

Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA, Josephat Kimaro, akijibu maswali ya waandishi (hawapo pichani). Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini.…

 

10 years ago

Michuzi

ANDIKISHENI WATOTO WAWEZE KUPATA VYETI VYA KUZALIWA - RITA

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. WAKALA wa usajili ufilisi na udhamini(RITA) wamewataka wazazi na walezi wanaosoma shule za msingi za Manispaa ya Kinondoni wawaandikishe watoto wao ili waweze kupata vyeti vyao vya kuzaliwa.

Hayo yamesemwa na Meneja masoko Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA Josephat Kimaro  wakati akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.

Kimaro amesema kuwa wananchi wajue umhimu wa cheti cha kuzaliwa kwani Cheti cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani