Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madam Rita kuja na kipindi cha TV ‘Rita Paulsen Show’

Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Productions aliyejipatia umaarufu kwa kuanzisha mashindano ya Bongo Star Search, Rita Paulsen anatarajia kuja na kipindi chake cha runinga. Kipindi hicho kinaitwa ‘Rita Paulsen Show’. Rita ameshare habari hiyo njema kwenye akaunti yake ya Instagram na kwenye picha kuandika: The biggest revenge in this world is success#hard work.” Hadi sasa bado […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

BSS haijafa, sasa kuja kivingine- Madam Rita Poulsen

Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Poulsen amewataka mashabiki na wapenda muziki kuondoa hofu akieleza kuwa mashindano hayo hayajafa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RITA PAULSEN: Mjasiriamali asiyekata tamaa

LEO namzungumzia Rita Paulsen au Madam Rita, kama anavyofahamika kwa wengi. Huyu ni mwanamke mjasiriamali, aliyefanikiwa kwa kuanzia chini kabisa, hivyo ni mfano mzuri wa kuigwa na wale wanaotamani kuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Rita Paulsen: Bongo Star Search inarudi kwa kishindo

Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark na Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Paulsen amewataka mashabiki na wapenda muziki kuondoa hofu akieleza kuwa mashindano hayo hayajafa. Mashindano ya BSS mwaka jana hayakufanyika na hali hiyo ilizua hofu miongoni mwa mashabiki kwamba huenda mashindano hayo yamekufa. Akizungumza na gazeti la Mwananchi […]

 

11 years ago

GPL

MADAM RITA ATESEKA SIKU 365

Stori:  Musa mateja MATESO! Mkurugenzi wa Kampuni ya  Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka sasa (siku 365) baada kuvunjika mguu mwaka jana alipopata ajali ya gari katikati ya Jiji la Dar. Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions, Rita Paulsen ‘Madam’. Akizungumza na...

 

9 years ago

GPL

MADAM RITA AWAPIGA CHINI WANASIASA

Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) Rita Paulsen ‘Madam Rita’ . Na Hamida hassan Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) linaloendelea hivi sasa, Rita Paulsen ‘Madam Rita’ amewapiga chini wanasiasa waliokuwa wakitamani awe nao na kusema kuwa yeye ni mfanyabiashara hivyo hawezi kusapoti chama chochote cha siasa. Akizungumza na Ijumaa Rita alisema kuwa kipindi hiki cha siasa...

 

10 years ago

GPL

KUMBE! ZARI, MADAM RITA NI NDUGU

Musa Mateja na Gabriel Ng’osha Kumbe! Machoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’ baada ya kumuona akiwa ‘klozi’ na Bosi wa Bongo Stars Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ kwenye shoo ya Zari All White Party iliyofanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. ...

 

10 years ago

Mtanzania

Vannesa ammwagia sifa Madam Rita

Vanessa6mdmNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa Mkurugenzi wa Bench Mark Production, waandaji wa kipindi cha kuibua vipaji vya muziki cha Bongo Stars Search ‘BSS’, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa Rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita...

 

10 years ago

GPL

BSS: MADAM RITA ALIA NA BASATA

Stori: Mwandishi wetu MKURUGENZI wa Benchmark Production, Madame Rita Poulsen, amelia na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), chombo cha serikali kinachosimamia utamaduni kwa ujumla, akilielezea kuwa halina msaada wowote kwa shindano la kutafuta na kuibua vipaji vya wasanii wa muziki nchini, linalofahamika kama Bongo Stars Search (BSS). Mkurugenzi wa Benchmark Production, Madame Rita Poulsen. “Tunalipa fedha BASATA kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

KALLA JEREMIAH AMPA DARASA MADAM RITA

madam-ritaNA THERESIA GASPER

MIONGONI mwa wasanii ambao wame­tokea kukubalika katika miondoko ya Hip Hop ni Jeremiah KALA Masanja ‘Kala Jeremiah’ambaye anasumbua mbaya na ngoma zake kali zenye mashairi ya kiharakati.

Staa huyu ambaye ni zao la shindano la Bongo Star Search (BSS), msimu wa kwanza – mwaka 2007, anatamba na nyimbo kama Walewale, Wimbo wa Taifa, Waambieni na nyinginezo zikiwa zimetoa ujumbe mzuri kwa jamii na hasa kuwa­kumbusha wanasiasa ahadi walizotoa kwa wananchi wao.

Katika mahojiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani