Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANGAZAJI WA TIMES FM WAIFAGILIA VODACOM KWA KUWA MLIPA KODI WA PILI MKUBWA NCHINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...

 

10 years ago

Habarileo

Watangazaji waiponza Times Fm

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya maadili na kanuni za utangazaji, vilivyopo katika leseni ya utangazaji inayotolewa na mamlaka hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

‘Msikubali kulipia namba ya mlipa kodi’

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imewataka wananchi kutoa taarifa endapo watatozwa fedha ili wapate namba ya mlipa kodi (Tin number), kwa sababu hutolewa bure katika ofisi zote za mamlaka hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yang’ara siku ya mlipa kodi

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imeendelea kuongoza katika uchangiaji wa pato la taifa kupitia ulipaji kodi ambapo mwaka huu imetangazwa kuwa miongoni mwa wachingiaji wakubwa wa kodi hapa nchini. Akizungumza...

 

10 years ago

GPL

BONANZA LA UFUNGUZI WA WIKI YA MLIPA KODI YA TRA LAFANA JIJINI DAR

Mgeni rasmi kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Wiki ya Mlipa Kodi ambaye ni Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Tiagi Masamaki akitoa nasaha zake kwa washiriki wa Bonanza hilo lililofanyika jana Novemba 15,2014 kwenye viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugeni wa Elimu na Huduma wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Allan Kiulla (kulia) akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni...

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania, Bi. Rosalynn Mworia  kwa niaba ya kampuni yake  kwa kuwa mdau mkubwa wa  kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama  iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga.

 

10 years ago

GPL

HAIJAPATA KUTOKEA, VODACOM KINARA WA KULIPA KODI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI

MWISHONI mwa wiki kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliibuka kinara wa pili kwa walipa kodi wakubwa na inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini ambapo haijawahi kutokea. Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha Elimu ya walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania,Richard Kayombo,...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi ya TRA yafanyika leo Jijini Dar

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Adam Malima akitoa nasaha zake kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani