Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi ya TRA yafanyika leo Jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-JiwA6oVpS88/VG9P48tPUzI/AAAAAAAGyrg/RBrYbXXh5gk/s72-c/30.jpg)
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Adam Malima akitoa nasaha zake kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6srPbZUgeew/VGdMmaaV-zI/AAAAAAAGxeE/xfVqyozq4yo/s72-c/76.jpg)
Bonanza la Ufunguzi wa Wiki ya Mlipa Kodi ya TRA lafanyika leo jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-6srPbZUgeew/VGdMmaaV-zI/AAAAAAAGxeE/xfVqyozq4yo/s1600/76.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Aklf98u1S-M/VGdMkkY_NTI/AAAAAAAGxdw/t2zCYWL_FW0/s1600/74.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-6srPbZUgeew/VGdMmaaV-zI/AAAAAAAGxeE/xfVqyozq4yo/s1600/76.jpg?width=650)
BONANZA LA UFUNGUZI WA WIKI YA MLIPA KODI YA TRA LAFANA JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O3uRP5vH3Nw/VEvTPd-wOsI/AAAAAAAGtX8/DwJwOsJGljo/s72-c/unnamed%2B(84).jpg)
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika leo jijini Dar es salaam.
![](http://3.bp.blogspot.com/-O3uRP5vH3Nw/VEvTPd-wOsI/AAAAAAAGtX8/DwJwOsJGljo/s1600/unnamed%2B(84).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-14CSpDCHKPE/VEvTQL1ZBwI/AAAAAAAGtYU/cuSwBhMRYxg/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua maadhimisho ya Nane ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, Jijini Dar Leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yy-u4HVVerM/Vml87JgeJ6I/AAAAAAACmtM/G163z52bbP8/s640/3.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipunga mkono kupokea maandamano ya wananchi kwenye Viwanja vya Karimjee katika Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Dec 10, 2015. (Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_oG981esUIY/VGs-Xts7TeI/AAAAAAAGyCc/Dc8H48Q2EPw/s72-c/3.jpg)
TRA yaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi Tanzania,Yatoa Msaada Hospitali ya Temeke na Kukabidhi Madawati 100 Shule ya Msingi Misitu,Kivule
Mara baada ya kukamilisha shughuli zote za hospitalini hapo,Wafanyakazi hao walielekea...
10 years ago
GPLMAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6D8aePq462U/VlN65cleiRI/AAAAAAAIIFw/7PhZ6nrLVTE/s72-c/PICHA%2BNAMBA%2B1.jpg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-6D8aePq462U/VlN65cleiRI/AAAAAAAIIFw/7PhZ6nrLVTE/s640/PICHA%2BNAMBA%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nUnoMrcUOUg/VlN65Xzqs-I/AAAAAAAIIF0/a-vMkmN5R7I/s640/PICHA%2BNAMBA%2B2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) majukumu wanayotekeleza katika kuhakikisha wanakabiliana na tatizo la Mgongo wazi na Vichwa vikubwa ikiwamo kutoa elimu bora kwa madaktari wanaosomea somo hilo, kwenda mikoani kutoa tiba kwa watoto wenye matatizo hayo,wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani jana Jijini Dar es salaam....
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA MTINDIO WA UBONGO DUNIANI KITAIFA YAFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Dotto MwaibaleWAKUU wa Shule mbalimbali wametakiwa...