Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANAHARAKATI WAMUUNGA MKONO JK KUPAMBANA NA UJANGILI‏

Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindua rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kama jitihada za kumuunga mkono Rais Kikwete katika kupambana na ujangili wa wanyamapori nchini. Kushoto ni Mratibu wa Taasisi ya Tembo Marathon Tanzania, Bw. Robert Zangi, Wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumeshindwa kupambana na ujangili?

KATIKA gazeti hili jana, kulikuwa na taarifa ya watu sita wanaodhaniwa majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

VITA YA UJANGILI


Serikali yapewa  ndege ya kisasa

NA KHADIJA MUSSA
WADAU wa utalii na uhifadhi ndani na nje ya nchi wameendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili, kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.

Tangu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza vita dhidi ya ujangili na kusisitiza kuwa lazima serikali ishinde, matukio ya mauaji ya tembo na faru yamepungua kwa kiasi kikubwa.
Hiyo inatokana na kuimarishwa kwa ulinzi kwenye hifadhi za taifa pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

WWF KUPAMBANA NA UJANGILI NCHINI

Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na uhifadhi wa mazingira na wanyama pori la World Wide Fund for Nature (WWF), limejiunga katika jitihada za kitaifa na kimaifa za kupambana na ujangili nchini ambapo pamoja na mambo mengine limetoa mabango yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama.
Akikabidhi vifaa hivyo Novemba 27, 2014 jijini Dar es Salaam kwa Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mpango kupambana na ujangili wazinduliwa

WIZARA ya Maliasili na Utalii imezindua mpango mkakati wa kimataifa wa kupambana na ujangili wa meno ya tembo na kujipanga kimkakati ili kukamilisha mchakato wa kuanzishwa kwa Mamlaka ya Hifadhi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Afrika Mashariki kupambana na ujangili

KATIKA juhudi za kupambana na ujangili nchini, Tanzania inatarajiwa kusaini makubaliano na nchi za Afrika Mashariki ili kuweza kuzuia na kuwachukulia hatua wanaojihusisha na biashara hiyo. Akizungumza wakati wa kutoa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ujangili ni vita ya pamoja’

Jumuiya ya kimataifa imepitisha Azimio la Arusha lenye lengo la kukabiliana na ujangili na kuendeleza wanyama.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Afrika Mashariki unganeni kupambana na ujangili’

Nchi za Afrika zimetakiwa kubadilishana uzoefu wa kudhibiti vitendo vya ujangili wa tembo na faru la sivyo, wanyama hao watapotea Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani