Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHARAKATI WAMUUNGA MKONO JK KUPAMBANA NA UJANGILI‏

Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindua rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kama jitihada za kumuunga mkono Rais Kikwete katika kupambana na ujangili wa wanyamapori nchini. Kushoto ni Mratibu wa Taasisi ya Tembo Marathon Tanzania, Bw. Robert Zangi, Wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB),...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

wanaharakati katika mkutano maalumu wa kupambana na ujangili duniani jijini london leo

Wanaharakati wakiwa na mabango wakiwa nje ya ukumbi ambako  mkutano maalumu wa kupambana na tatizo la ujangili duniani jijini  London, Uingereza unafanyika leo. Rais Kikwete anahudhria mkutano huu maalumu  ambao umeandaliwa na Mwanamfalme wa Uingereza, Prince Charles. Picha na Hans Pieter wa Globu ya Jamii, London

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WAMUUNGA MKONO SAID FELLA

 Mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Kilungule Said Fella (kushoto) akiteta jambo  na mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala Issa Mangungu, wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani ambazo zimezinduliwa jana.Msanii Richard  Maviko, (katikati) akiwa na wasanii wenzake  wakitoa salamu maalum ya kumuunga mkono mgombea wa udiwani katika Kata ya Kilungule Said Fella, ambaye  amezindua rasmi kampeni katika kata hiyo.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lameck Ditto akiongea kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota wa zamani wamuunga mkono Nkwabi

BAADHI ya wachezaji wa zamani wa timu ya Simba, wameibuka na kusema wanamuunga mkono mgombea wa nafasi ya makamu wa rais katika klabu hiyo, Swedi Nkwabi kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...

 

11 years ago

Habarileo

CCM Kigoma wamuunga mkono Zitto Kabwe

Zitto KabweCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kigoma Mjini kimeunga mkono hatua ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA aliyevuliwa madaraka, Zitto Kabwe kusimamia demokrasia na matumizi sahihi ya fedha katika chama chake.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanawake wamuunga mkono JPM kufanya usafi

Wanawake kutoka vyama vya siasa na wanaharakati waeitikia wito wa Rais John Magufuli kwa kujitokeza kufanya usafi kwenye Soko la Mabibo la jijini hapa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa wa Bongo Movies, Kajala na Riyama Wamuunga Mkono Mabeste

“WAUNGWANA wangu wapendwa wangu Naomba kwahisani yako Pitia uzuri hayo maelezo ktk bango hakikisha haikupiti hii kama kweli wewe ni mzalendo pia onesha kuguswa na mtihani ambao unamkabili sasahivi kakayetu ndugu yetu mwenzetu Mabeste halafu sema hata mimi ni binadamu nisie kamilika matatizo mitihani na maradhi nimeumbiwa mimi.
Mimi nilishayabeba Haya kua kwaupende wangu maumivu niliopata hayaelezeki nikapata jibu kua pengine asingekua yeye leo hii ningeweza kua mimi ndio mwenye mtihani huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani