Kesi ya vigogo TPA kusikilizwa Desemba
NA FURAHA OMARY
KESI ya matumizi mabaya ya madaraka, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, imepangwa kuanza kusikilizwa Desemba 2, mwaka huu.
Mgawe na mwenzake, wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14, katika bandari ya Dar es Salaam, kwa Kampuni ya China Communications Contruction, bila ya kutangaza zabuni.
Washitakiwa hao walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jul
Vigogo wa juu TPA kizimbani
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka.
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Vigogo wa TPA kizimbani Dar
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Sitta ‘atimua’ vigogo TRL, amhamisha Kipande TPA
10 years ago
Mtanzania18 May
Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha
Na Mtua Salira, EANA
KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Kesi ya Ponda kusikilizwa leo
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Kesi ya Rita Jeptoo yaanza kusikilizwa
10 years ago
Habarileo11 Feb
Washitakiwa kesi ya Mvungi waomba kusikilizwa
WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi wameiomba Mahakama iwape haki ya kuwasikiliza.
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Kesi ya Liz yaanza kusikilizwa Kenya