Mansour apandishwa kizimbani
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Is-haka Omar, Zanzibar
ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Akimsomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani, Mwendesha mashtaka wa Serikali, Maulid Ali, alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSLIM APANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
Habarileo20 May
Ofisa NHIF apandishwa kizimbani
OFISA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Godius Masilango, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh milioni 51.
11 years ago
Mwananchi19 Jan
‘Muuaji’ wa Dk Mvungi apandishwa kizimbani
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mkosamali apandishwa kizimbani Kigoma
10 years ago
MichuziPROF. LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI LEO
10 years ago
GPLCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
10 years ago
MichuziMkurugenzi Mkuu wa ZBC apandishwa kizimbani
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Hassan Abdalla Mitawi amefikishwa mahakamani kwa makosa kadhaa ikiwemo kosa la matumizi mabaya ya ofisi na ukwepaji kodi.
Mkurugenzi huyo alipanda kizimbani majira ya saa 5 asubuhi juzi katika mahakama ya mkoa Vuga, mbele ya Hakimu Ali Ameir.
Akisoma mashitaka mbele ya hakimu huyo, Muendesha mashtaka Abdalla Issa Mgongo, alisema mshitakiwa huyo amefikishwa mbele ya mahakama hiyo akiwa na mashitaka mawili.
Alisema kosa la kwanza...
9 years ago
StarTV16 Dec
Mbunge Saed Kubenea apandishwa kizimbani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shitaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali Timon Vitalis mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amedai kuwa Desemba 14, 2015 katika kiwanda cha Tooku Garments Company Limited kilichopo Mabibo External Kebenea alitoa lugha chafu dhidi ya Makonda.
Wakili wa serikali Timon...