Wakimbizi wafia kambini Cameroon.
Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa wakimbizi waliotoroka kutoka kwa wapiganaji wa Boko Haram wamefariki wakiwa katika kambi ya wakimbizi.
Baadhi ya wakazi waliokuwa kambini katika mji wa Fotokol karibu na mpaka wa Nigeria, wanasema kuwa mazingira katika kambi hizo, yalikuwa mabaya sana na kwamba watoto walifariki baada ya kuugua Malaria.
Wengine walilalamika kuwepo uhaba wa chakula kambini na kwamba walilazimika kuiba chakula kutoka kwa mashamba ya wenyeji.
Wadadisi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wakimbizi wafia kambini mpakani Nigeria
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Wakimbizi Kenya waagizwa kurudi kambini
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Kenya yaamuru wakimbizi kurejea kambini
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Watano wafia mgodini
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziWAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...
10 years ago
Habarileo18 Apr
Wachimbaji wadogo 19 wafia mgodini
WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu ‘manyani’, wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Mjusi Kafiri wafia angani wakifanyiwa utafiti