Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakimbizi Kenya waagizwa kurudi kambini

Wakimbizi wote wanaoishi nje ya kambi za Kakuma na Dadaab wametakiwa kurudi katika kambi hizo haraka iwezekanavyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yaamuru wakimbizi kurejea kambini

Serikali ya Kenya imewaagiza wakimbizi wote wasomali wanaoishi nje ya kambi za Kakuma na Dadaab kurudi katika kambi hizo haraka iwezekanavyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama na mwanawe waagizwa kurudi London

Waziri wa maswala ndani nchini Uingereza ametakiwa kumrudisha mwanamke mmoja na mwanawe wanaotafuta hifadhi nchini humo

 

9 years ago

Habarileo

Wakimbizi waagizwa kusalimisha silaha

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali sambamba na kuwafichua wakimbizi wenzao watakaoingia kambini na silaha na kujihusisha na vitendo vya ujambazi.

 

9 years ago

StarTV

Simba Sc kukipiga na Mwadui kabla ya kurudi kambini Zanzibar

 SIMBA SC watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kwenda Zanzibar kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Awali, mchezo huo ilikuwa ufanyike Jumapili, lakini Ofisa Habari wa Simba SC, Hajji Sunday Manara amesema kwamba umeahirishwa kupisha uzinduzi wa kampeni za vyama vya siasa kuelekea uchaguzi Mkuu.
Mchezo huo unatarajiwa kuwapa fursa wapenzi wa Simba SC kumuona kwa mara nyingine mshambuliaji wao mpya,...

 

10 years ago

StarTV

Wakimbizi wafia kambini Cameroon.

Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa wakimbizi waliotoroka kutoka kwa wapiganaji wa Boko Haram wamefariki wakiwa katika kambi ya wakimbizi.

 
Baadhi ya wakazi waliokuwa kambini katika mji wa Fotokol karibu na mpaka wa Nigeria, wanasema kuwa mazingira katika kambi hizo, yalikuwa mabaya sana na kwamba watoto walifariki baada ya kuugua Malaria.

 
Wengine walilalamika kuwepo uhaba wa chakula kambini na kwamba walilazimika kuiba chakula kutoka kwa mashamba ya wenyeji.

 
Wadadisi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wafia kambini mpakani Nigeria

Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa wakimbizi waliotoroka kutoka kwa wapiganaji wa Boko:H wamefariki klatika kambi ya wakimbizi.

 

9 years ago

Mtanzania

Walimu Kenya kurudi kazini leo

sossion-strikeNAIROBI, KENYA

VYAMA vya walimu nchini vimetii agizo la mahakama, na hivyo kutangaza kusitisha mgomo na kuwaomba walimu kuripoti kazini kuanzia leo.

Katibu Mkuu wa Chama cha Taifa cha Walimu (KNUT), Wilson Sossion aliwataka walimu wote waliokuwa kwenye mgomo kurudi darasani akisema kuwa leo ni mwanzo mpya wa muhula wa tatu.

Aidha Chama cha Walimu wa Taasisi za Kati (KUPPET) pia kiliwaomba wanachama wake kurejea kazini.

Hata hivyo, Sossion alisema bado wana hofu kuwa serikali inalenga...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yathibitisha visa vinne , raia waagizwa kuvaa barakoa

Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kwamba Kenya imethibitisha visa vinne zaidi vya virusi vya corona

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Somalia:Kenya yaonya UN

Serikali ya Kenya imeupatia Umoja wa Mataifa makataa ya miezi mitatu kuwahamisha wakimbizi wa Somalia wapatao nusu milioni

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani