Mama na mwanawe waagizwa kurudi London
Waziri wa maswala ndani nchini Uingereza ametakiwa kumrudisha mwanamke mmoja na mwanawe wanaotafuta hifadhi nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Wakimbizi Kenya waagizwa kurudi kambini
10 years ago
Habarileo17 Oct
Mama, mwanawe wachinjwa
WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya Shinyanga kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Mama na mwanawe wauawa kwa mapanga
9 years ago
Habarileo18 Aug
Mama aua mwanawe kwa sumu
MKAZI wa Chuo, tarafa ya Shimbi Kwandele wilayani Rombo, Kilimanjaro, Fidensia Salvatory (27) anashikiliwa na Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnywesha sumu mwanawe wa miezi sita kwa madai ya kukerwa na wakwe zake.
11 years ago
Habarileo15 Aug
Mama amuua mwanawe kwa mpini
MKAZI wa Tagamenda nje kidogo ya Manispaa ya Iringa, Habiba Swedi (31), amewafanyia wanawe wawili ukatili wa kutisha kwa kumponda mmoja wa miezi mitatu hadi kumsababishia kifo, huku mwingine wa miaka saba akijeruhiwa vibaya.
10 years ago
Habarileo04 Dec
Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
11 years ago
Mtanzania15 Aug
Mama amuua mwanawe kwa mpini wa jembe
NA RAYMOND MINJA, IRINGA
MWANAMKE mmoja, Habiba Swedi (21), mkazi wa Kijiji cha Tagamenda, Mkoa wa Iringa, amemuua mtoto wake wa miezi mitatu, Christina Kalolo kwa kumpiga mpini wa jembe.
Pia, mwanamke huyo alimjeruhi mtoto wake wa miaka saba, Grace Kalolo kwa kumpiga na mpini huo.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana asubuhi nyumbani kwa mwanamke huyo.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Baba mzazi wa watoto hao, Bosco Kalolo,...
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Wataka urais na hadithi ya mama jongoo na mwanawe
WENGINE wanasema ni kukua kwa demokrasia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo pia wanaojisifia kwamba hizo ni dalili za kukomaa kwa chama, lakini kwa wenzangu na mie, hizo ni dalili za uholela, ni ishara ya kukosa kujitambua.
Wahenga wanasema mtu asiyejua anachokifanya kila kitu kwake ni sawa, mtu asiyekuwa na jibu la kwa nini yupo au anaishi, yeye kila kitu kwake hewala ni sawa tu na mtu asiyejua aendako kwake njia zote ni sawa, atajuaje njia inayompeleka kusikotakiwa wakati huko...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Kibarua cha mama kumpa mwanawe 'Bangi'