Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama amuua mwanawe kwa mpini

MKAZI wa Tagamenda nje kidogo ya Manispaa ya Iringa, Habiba Swedi (31), amewafanyia wanawe wawili ukatili wa kutisha kwa kumponda mmoja wa miezi mitatu hadi kumsababishia kifo, huku mwingine wa miaka saba akijeruhiwa vibaya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mama amuua mwanawe kwa mpini wa jembe

NA RAYMOND MINJA, IRINGA

MWANAMKE mmoja, Habiba Swedi (21), mkazi wa Kijiji cha Tagamenda, Mkoa wa Iringa, amemuua mtoto wake wa miezi mitatu, Christina Kalolo kwa kumpiga mpini wa jembe.

Pia, mwanamke huyo alimjeruhi mtoto wake wa miaka saba, Grace Kalolo kwa kumpiga na mpini huo.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana asubuhi nyumbani kwa mwanamke huyo.

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Baba mzazi wa watoto hao, Bosco Kalolo,...

 

11 years ago

Habarileo

Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani

MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Baba amuua mwanawe wa kike Pakistan

Mwanamke amepigwa mawe na familia yake wakiwemo babake na ndugu zake wa kiume hadi kufariki kwa kuolewa na mtu wasiomkubali

 

9 years ago

Habarileo

Mama aua mwanawe kwa sumu

MKAZI wa Chuo, tarafa ya Shimbi Kwandele wilayani Rombo, Kilimanjaro, Fidensia Salvatory (27) anashikiliwa na Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnywesha sumu mwanawe wa miezi sita kwa madai ya kukerwa na wakwe zake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mama na mwanawe wauawa kwa mapanga

Mkazi wa Kijiji cha Saragulwa, Kata ya Nyamwilolela mkoani hapa na mwanaye wameuawa kwa kukatwa mapanga na watu ambao hawajajulikana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?

Wakati walipoanza kuchumbiana, hawakujionyesha moja kwa moja kuwa wapenzi wa jinsia moja.

 

10 years ago

Habarileo

Mama, mwanawe wachinjwa

WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya Shinyanga kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama na mwanawe waagizwa kurudi London

Waziri wa maswala ndani nchini Uingereza ametakiwa kumrudisha mwanamke mmoja na mwanawe wanaotafuta hifadhi nchini humo

 

10 years ago

BBCSwahili

Kibarua cha mama kumpa mwanawe 'Bangi'

Mama wa kijana anayeugua kifafa amekataa kumpa mwanawe wa kiume bangi kama matibabu inavyotakikana-kupitia moshi na mvuke.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani