Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani

MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mke amuua mume kwa kumpiga nondo kichwani

Mkazi wa Kijiji cha Irogero, Kata ya Kamachumu wilayani Muleba, Archard Fredrick, anadaiwa kuuawa na mkewe kwa kupigwa na nondo kichwani akiwa amelala.

 

10 years ago

GPL

MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa  
MWANAMUME mmoja aitwaye Boniphace Kiwele mkazi wa Bombambili, Wilaya ya Ilala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam anadaiwa kumuua kwa kipigo na kitu kinachodhaniwa kuwa ni msumari, mkewe Happiness Geofrey (pichani) wiki iliyopita. Happiness Geofrey enzi za uhai wake. Kiwele alidaiwa kufanya ukatili huo Machi 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kumtuhumu mkewe kuwa alikuwa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mama amuua mwanawe kwa mpini

MKAZI wa Tagamenda nje kidogo ya Manispaa ya Iringa, Habiba Swedi (31), amewafanyia wanawe wawili ukatili wa kutisha kwa kumponda mmoja wa miezi mitatu hadi kumsababishia kifo, huku mwingine wa miaka saba akijeruhiwa vibaya.

 

10 years ago

Mtanzania

Mama amuua mwanawe kwa mpini wa jembe

NA RAYMOND MINJA, IRINGA

MWANAMKE mmoja, Habiba Swedi (21), mkazi wa Kijiji cha Tagamenda, Mkoa wa Iringa, amemuua mtoto wake wa miezi mitatu, Christina Kalolo kwa kumpiga mpini wa jembe.

Pia, mwanamke huyo alimjeruhi mtoto wake wa miaka saba, Grace Kalolo kwa kumpiga na mpini huo.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana asubuhi nyumbani kwa mwanamke huyo.

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Baba mzazi wa watoto hao, Bosco Kalolo,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Baba amuua mwanawe wa kike Pakistan

Mwanamke amepigwa mawe na familia yake wakiwemo babake na ndugu zake wa kiume hadi kufariki kwa kuolewa na mtu wasiomkubali

 

9 years ago

GPL

MUME ALIVYOMUUA MKEWE KWA NYUNDO!

Na Mohemed Shabani, Manyara DUNIA inazidi kufikia ukingoni! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Paulo Mahinda, 40, (pichani), mkazi wa Kijiji cha Ndaleta wilayani Kiteto, Manyara anatafutwa na jeshi la polisi wilayani hapa kwa madai ya kumuua mke wake, Mariam Samuel (45) hivi karibuni kwa kumpiga na nyundo kwenye paji la uso, pia kumjeruhi mtoto wake wa mwaka mmoja.  Marehemu Mariam Samuel enzi za uhai wake. Taarifa za...

 

10 years ago

StarTV

Mfuasi CHADEMA afariki kwa kupigwa jembe kichwani

Na Shaabani Alley

Shinyanga

 

Mkazi wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu wilayani Kahama ambaye ni mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA amefariki kwa kupigwa jembe kichwani na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakati akishangilia ushindi wa chama chake.

 

Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Justus Kamugisha alisema tukio hilo ni miongoni mwa matukio kadhaa ya kuvuruga uchaguzi huo.

 

Hata hivyo Kamanda Kamugisha...

 

10 years ago

Vijimambo

JAMAA AKIJIMWAGIA MAJI KICHWANI KWA STYLE YA PASSPORT SIZE

Joto la Dar ni shiiiida jamaa aliona ni bora ajimwagie maji japo kichwani maana alihisi kama kichwa kina taka kuyeyuka vile na ukizingatia anakipara ndiyo kabisaaaa. Ni vijimambo vya hapa na pale ndani ya Bongo Daresalaama.

 

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi ampiga kichanga cha mwezi kwa mchi kichwani, ni katika ugomvi

>Mtoto mchanga mwenye umri wa mwezi mmoja, Yadiko Chigoda amelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kupigwa na mchi kichwani na baba yake mzazi na kumsababishia maumivu makali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani