Mfuasi CHADEMA afariki kwa kupigwa jembe kichwani
Na Shaabani Alley
Shinyanga
Mkazi wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu wilayani Kahama ambaye ni mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA amefariki kwa kupigwa jembe kichwani na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakati akishangilia ushindi wa chama chake.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Justus Kamugisha alisema tukio hilo ni miongoni mwa matukio kadhaa ya kuvuruga uchaguzi huo.
Hata hivyo Kamanda Kamugisha...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKADA WA CHADEMA AUAWA KWA KUPIGWA MSHALE WA TUMBONI
9 years ago
MichuziUHURU PUBLICATIONS LIMITED YALIA NA CHADEMA KWA KUPIGWA MWANDISHI WAKE
LISSA ALIMFAHAMISHA MHARIRI WAKE JUU YA TAARIFA HIZO, AMBAPO MHARIRI ALIMTAKA KUFUATILIA TUKIO HILO.
MWANDISHI HUYO ALIONDOKA OFISINI SAA 2:50 ASUBUHI MPAKA KINONDONI...
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mchezaji afariki baada ya kupigwa
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mchezaji afariki baada ya kupigwa kichwa
10 years ago
Habarileo29 Oct
Anayedaiwa kupigwa na mumewe baa afariki dunia
MWANAMKE Sakina Kopa (41) amefariki dunia siku tatu baada ya kupigwa na kujeruhiwa na mumewe anayedaiwa kuchukizwa kwa kumkuta akiwa baa usiku. Aidha, katika tukio jingine linalohusishwa na wivu, dereva wa bodaboda amemjeruhi kwa visu mpenzi wake ambaye ni Mwalimu, na baada ya kudhani amemuua, naye alijichoma kisu hadi utumbo kutoka nje, ingawa bado yu hai.
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA MFUASI WA CHAMA CHA CUF ALIEFARIKI KWA AJALI, UNGUJA
Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amehudhuria mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) aliyefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea wakati akirudi katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.
Marehemu ambaye ni mkaazi wa Kinuni, Wilaya ya Magharibi Unguja amesaliwa katika Msikiti Ngamia, Kilimahewa na kuzikwa Kianga, mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Aidha, Maalim Seif amewatembelea na kuwawafariji baadhi ya...
9 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
9 years ago
Habarileo27 Sep
Mgombea Chadema matatani tukio la kupigwa chupa askari
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma, Benson Kigaila (Chadema) na wenzake 10 kwa tuhuma za kufanya vurugu na kumpiga askari polisi kwa chupa kichwani.
11 years ago
Habarileo03 Mar
Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani
MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.