Anayedaiwa kupigwa na mumewe baa afariki dunia
MWANAMKE Sakina Kopa (41) amefariki dunia siku tatu baada ya kupigwa na kujeruhiwa na mumewe anayedaiwa kuchukizwa kwa kumkuta akiwa baa usiku. Aidha, katika tukio jingine linalohusishwa na wivu, dereva wa bodaboda amemjeruhi kwa visu mpenzi wake ambaye ni Mwalimu, na baada ya kudhani amemuua, naye alijichoma kisu hadi utumbo kutoka nje, ingawa bado yu hai.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Anayedaiwa kuchomwa moto afariki dunia
10 years ago
Michuzi29 Jul
KAMANDA WA POLISI DODOMA AKANUSHA UVUMI WA KUFARIKI DUNIA JOSEPH ELIAZA CHILONGANI ANAYEDAIWA KUPIGWA NA MH. JOB NDUGAI
Mnamo tarehe 28.7.2015 majira ya jioni JOSEPH ELIAZA CHILONGANI alifika katika kituo cha Polisi Kibaigwa akilalalmika kuwa wakati wakiwa kwenye kampeni za kujinadi kwa wanachama kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM alishambuliwa kwa fimbo sehemu za kichwani na tumboni na JOB YUSTOO NDUGAI (MB).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamiz wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema mtu huyo aliyejeruhiwa alipewa PF3 na...
10 years ago
Vijimambo
KAMANDA WA POLISI DODOMA AKANUSHA UVUMI WA KUFARIKI DUNIA JOSEPH ELIAZA CHILONGANI ANAYEDAIWA KUPIGWA NA JOBU YUSTOO NDUGAI (MB).

Na. Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mnamo tarehe 28.7.2015 majira ya jioni JOSEPH ELIAZA CHILONGANI alifika katika kituo cha Polisi Kibaigwa akilalalmika kuwa wakati wakiwa kwenye kampeni za kujinadi kwa wanachama kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM alishambuliwa kwa fimbo sehemu za kichwani na tumboni na JOBU YUSTOO NDUGAI (MB).
Kamanda wa...
11 years ago
GPL
DENTI ANAYEDAIWA KUPIGWA NA DIWANI HOI HOSPITALINI!
11 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mchezaji afariki baada ya kupigwa
5 years ago
BBCSwahili17 May
Du Wei: Balozi wa China Israel anayedaiwa kuaga dunia akiwa usingizini
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mchezaji afariki baada ya kupigwa kichwa
10 years ago
StarTV16 Dec
Mfuasi CHADEMA afariki kwa kupigwa jembe kichwani
Na Shaabani Alley
Shinyanga
Mkazi wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu wilayani Kahama ambaye ni mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA amefariki kwa kupigwa jembe kichwani na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakati akishangilia ushindi wa chama chake.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Justus Kamugisha alisema tukio hilo ni miongoni mwa matukio kadhaa ya kuvuruga uchaguzi huo.
Hata hivyo Kamanda Kamugisha...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia