Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Du Wei: Balozi wa China Israel anayedaiwa kuaga dunia akiwa usingizini

Balozi huyo alidaiwa kumshambulia waziri wa kigeni nchini Marekani Pompeo kuhusu mlipuko wa corona alipozuri Israel siku ya Ijumaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Komla Dumor; Mtangazaji aliyefariki akiwa usingizini

>Afrika inasikitika kwa kifo cha Komla Dumor. Rais wa Ghana John Dramani Mahama amemtaja marehemu mtu huyu kama zawadi ya Ghana iliyoletwa kwenye ulimwenguni na kukaa kwa muda mfupi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbunge wa Ukonga afariki dunia usingizini

mwaiposaNA ARODIA PETER, DODOMA
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (55), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini Dodoma akiwa usingizini.
Akitangaza msiba huo bungeni jana, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, alisema Mwaiposa alifariki dunia akiwa nyumbani kwake eneo la Chadulu mjini hapa.
Alisema kwa muda mrefu mbunge huyo aliyeingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu.
Wabunge walikuwa wakiendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya Afya na...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TAIFA LA ISRAEL KWA TANZANIA



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Taifa la Israel kwa Tanzania Mhe. Oded Joseph ambaye analiwakilisha Taifa hilo kutokea Nairobi, Kenya.

Kanali Balozi Ibuge katika mazungumzo hayo amweleza Balozi Oded, kuhusu hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali katika kukakabiliana na kusambaa kwa COVID-19 na madhara sambamba na madhara cake.Aidha, pamoja na mambo mengine Wawili hao katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Anayedaiwa kuchomwa moto afariki dunia

Mwanafunzi wa kidato cha tatu Sekondari ya Mwanza, Annastazia Magafu anayedaiwa kuchomwa moto na baba yake, amefariki dunia.

 

10 years ago

Habarileo

Anayedaiwa kupigwa na mumewe baa afariki dunia

MWANAMKE Sakina Kopa (41) amefariki dunia siku tatu baada ya kupigwa na kujeruhiwa na mumewe anayedaiwa kuchukizwa kwa kumkuta akiwa baa usiku. Aidha, katika tukio jingine linalohusishwa na wivu, dereva wa bodaboda amemjeruhi kwa visu mpenzi wake ambaye ni Mwalimu, na baada ya kudhani amemuua, naye alijichoma kisu hadi utumbo kutoka nje, ingawa bado yu hai.

 

10 years ago

BBCSwahili

24 wahofiwa kuaga dunia Zambia

wanafunzi 21 na walimu 3 wanahofiwa kuaga dunia baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama kwenye ziwa Kariba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Alioa siku 3 tu kabla ya kuaga dunia

Kijana amemuoa mpenzi wake siku tatu tu kabla yake kuaga dunia kutokana na Saratani ya damu Lukaemia.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA NIGERIA NCHINI ATEMBELEA MAHAKAMA YA AFRIKA KUAGA

 Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Gerald Niyungeko(kushoto)akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania,Dk. Ishaya  Majanbu aliyefika katika Mahakama hiyo jijini Arusha kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Ubalozi nchini. aji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Gerald Niyungeko(katikati)akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa Nigeria nchini Tanzania,Dk. Ishaya  Majanbu aliyefika katika Mahakama hiyo jijini Arusha kuaga uongozi wa Mahakama...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa Australia afika Wizara ya Nishati na Madini kuaga

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akiagana na Balozi wa Australia nchini  anayemaliza muda wake, Geoff Tooth. 

 Balozi Geoff Tooth (kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Ngosi Mwihava ambapo Balozi huyo alimshukuru kwa ushirikiano alioupata kutoka katika Wizara na kumhakikishia kuwa Serikali ya Australia imedhamiria kuuenzi ushirikiano huo ambao ni wa kihistoria. Alisema Tanzania ijiandae na uwekezaji mkubwa kutoka kwa kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani