Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi wa Australia afika Wizara ya Nishati na Madini kuaga

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akiagana na Balozi wa Australia nchini  anayemaliza muda wake, Geoff Tooth. 

 Balozi Geoff Tooth (kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Ngosi Mwihava ambapo Balozi huyo alimshukuru kwa ushirikiano alioupata kutoka katika Wizara na kumhakikishia kuwa Serikali ya Australia imedhamiria kuuenzi ushirikiano huo ambao ni wa kihistoria. Alisema Tanzania ijiandae na uwekezaji mkubwa kutoka kwa kampuni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA MAGHARIBI KIM HAMES AFANYA ZIARA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Afya na Utalii kutoka Australia Magharibi Kim Hames (kushoto) akimweleza Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (Kulia) maeneo ambayo nchi ya Australia ingependa kuwekeza. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (Kulia) akimshukuru Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Afya na Utalii kutoka Australia Magharibi Kim Hames (kushoto) mara baada ya kumkabidhi zawadi. Wengine ni ujumbe ulioambatana na Naibu Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI

 Msimamizi wa masuala ya ushiriki wa watanzania wa wizara ya nishati na madini Neema Apson akizungumzia jinsi wizara ya nishati na madini inavyoshiriki katika kuhakikisha taarifa zinawafikia wananchi kwa usahihi kuhusiana na mafuta na gesi katika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin Dar es Salaam leo. pia wizara hiyo itaunda kitengo maalumu kwaajili ya kusimamia masuala ya gesi na mafuta na kuwajulisha wananchi kushiriki vyema katika nishati zitolewazo hapa nchini.
 Mkuu wa Biashara...

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na watendaji wanaosimamia sekta ya madini nchini. Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mjiolojia Mwandamizi Subian Chiragwile, Kaimu Mkurugenzi wa Migodi na Huduma za Kihandisi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Bi.Zena Kongoi, na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa STAMICO,...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKUTANA NA WADAU WA MADINI YA SHABA

Na Asteria Muhozya, Dare s Salaam
Wizara ya Nishati na Madini imekutana na wadau wa madini ya Shaba katika mkutano wa siku mbili ulioanza tarehe 24- 25 Novemba, 2014 na kuwashirikisha wafanyabiashara wa madini hayo, wachimbaji wadogo, viwanda vya kuyeyusha madini ya Shaba, Makamishana Wasaidizi wa Madini kutoka Kanda mbalimbali nchini pamoja na baadhi ya Maafisa Madini Wakaazi.
Akifungua mkutano huo, unaolenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ndogo ya madini ya Shaba na namna ya...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani