KADA WA CHADEMA AUAWA KWA KUPIGWA MSHALE WA TUMBONI
Mwili wa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Marwa Omtima ukizikwa. IGENGA MTATIRO, TARIME MKAZI wa Kitongoji cha Nyaiheta, Kijiji cha Kewanja Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara, Marwa Omtima (55)Â ambaye ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameuawa kwa kupigwa mshale tumboni na mtu aliyetajwa kwa jina la Gamaina, mkazi wa kitongoji hicho kulipotokea ugomvi usiku wa Machi 5, mwaka huu....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Kada wa Vijana Chadema Dar auawa kwa risasi
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/singida-oct18-2014.jpg)
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Iglansoni, ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani kwa bahati mbaya na askari polisi waliokuwa katika jitihada za kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi.
Aliyeuawa ni Joyce Maragabu (65), ambaye anadaiwa kupigwa risasi na askari hao waliokuwa wakijihami na kundi la watu waliotaka kuwavamia ili wasimkamate mhalifu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela, alisema askari hao walikuwa wanataka kumkamata, Nkida...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mfanyakazi wa Zantel auawa kwa kupigwa risasi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPWbjh-EJaCP*l9AOvQ0G2eAi0F-lhFQY4Fkw7jfWgWAI0vjd6uXqI4ephqdGWKPRoVn0Ef8JvcCKXUKM*MG1TRU/MEYA.jpg)
MEYA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MKEWE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZfKTftH0xy8L1-272ZBhkGvJT*1IikXLTfhMX08m3DWvjqROZyhmixElo-bCM7e3DhMPUEH4eq6AOt0-gavprVT/AHMED.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MOMBASA, KENYA
10 years ago
StarTV21 May
Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi Bujumbura.
Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura
Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.
Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandamanaji wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa awamu ya tatu.
Walioshuhudia wanasema kuwa polisi walimpiga mwandamanaji huyo risasi mgongoni wakiwa katika eneo la Musaga linalotazamwa kama ngome ya upinzani.
Waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Bujumbura lakini walitimuliwa kwa mabomu...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Sheikh Abubakar Makaburi auawa kwa kupigwa risasa Mombasa
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-HHw7P_B8MaI/UsqT9p7-g8I/AAAAAAAFE-E/yM_qMszmEJY/s1600/1.jpg?width=640)
MTOTO AUAWA NA BABA YAKE KWA KUPIGWA NGUMI MKOANI MBEYA