Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kada wa Vijana Chadema Dar auawa kwa risasi

Mwenyekiti wa Vijana Chadema Tawi la Luis, Mbezi Luis, Dar es Salaam, Dennis Kasanga ameuawa kwa kupigwa risasi shingoni usiku wa kuamkia jana, huku taarifa zilizotolewa na polisi zikitofautiana na mashuhuda wa tukio hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KADA WA CHADEMA AUAWA KWA KUPIGWA MSHALE WA TUMBONI

Mwili wa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Marwa Omtima ukizikwa.
IGENGA MTATIRO, TARIME MKAZI wa Kitongoji cha Nyaiheta, Kijiji cha Kewanja Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara, Marwa Omtima (55)  ambaye ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameuawa kwa kupigwa mshale tumboni na mtu aliyetajwa kwa jina la Gamaina, mkazi wa kitongoji hicho kulipotokea ugomvi usiku wa Machi 5, mwaka huu....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara auawa kwa risasi

MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

GPL

DENTI AUAWA KWA RISASI

Stori: Makongoro Oging’ na Harun Sanchawa
MAJONZI, huzuni na masikitiko vimeikumba familia ya Lwena kufuatia mtoto wao mpendwa Dorryce Lwena (27) kufariki dunia kwa kupigwa risasi mkono wa kushoto na ubavu wa kushoto na watu wasiojulikana, Uwazi lilifuatilia. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mwanzoni mwa mwezi huu, saa tatu usiku, Uwanja wa Edosi, Kitunda, Ilala hatua chache kutoka nyumbani kwa marehemu huyo. Siku ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kupigwa risasi

MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...

 

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI

STORI: WAANDISHI WETU/Uwazi
MFANYABIASHARA mwanamama aliyetambulika kwa jina la Prisca Paul Rugeiyamu au Mama Koku (34) ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nje ya geti la nyumba yake huku mwanaye Careen (12) akishuhudia. Padri akiuombea mwili wa marehemu Prisca Paul Rugeiyamu kanisani. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Januari 12, mwaka huu saa mbili usiku maeneo ya Tabata Segerea jijini Dar ambapo kwa mujibu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi Ukraine auawa kwa risasi

Mwandishi mmoja maarufu nchini Ukraine ameuawa na watu wasiojulikana kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuiunga mkono Urusi

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi



Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...

 

9 years ago

Global Publishers

Mwanafunzi UDSM auawa kwa risasi

mwanafunzi

Mwanafunzi wa UDSM, Mutaengerwa Mafwiri enzi za uhai wake.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mutaengerwa Mafwiri ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi jana usiku eneo la Msewe jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na www.globalpublishers.co.tz kwa njia ya simu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura amekiri kutokea kwa tukio hilo.

bunduki

Kwa mujibu wa Kamanda Wambura tukio hilo lilitokea jana usiku majira ya saa mbili...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezaji auawa kwa risasi El Salvador

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya El Salvador Alfredo Pacheco ameuawa kwa kupigwa risasi, maafisa wamesema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani