MTOTO AUAWA NA BABA YAKE KWA KUPIGWA NGUMI MKOANI MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-HHw7P_B8MaI/UsqT9p7-g8I/AAAAAAAFE-E/yM_qMszmEJY/s1600/1.jpg?width=640)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi. KATIKA TUKIO LA KWANZA: MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA VANESA PATRICK NJOJO (03) MKAZI WA ISISI, WILAYANI MBARALI ALIUAWA KWA KUPIGWA NGUMI NA BABA YAKE MZAZI AITWAYE PATRICK NJOJO (23) MKAZI WA ISISI. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 26.04.2014 MAJIRA YA SAA 23:45 USIKU HUKO KATIKA KIJIJI CHA ISISI, KATA NA TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA. INADAIWA KUWA...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Feb
Polisi auawa akiokoa mtoto asiuawe na baba yake mzazi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/david-05Feb2015.jpg)
Askari Polisi PC Joseph Swai, ameuawa wakati akimwokoa mtoto wa miezi minane, aliyekuwa akiteswa na baba yake mzazi katika mtaa wa Chang'ombe Juu mjini hapa.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alisema tukio hilo lilitokea jana saa 5:00 asubuhi na kumtaja mtoto aliyekuwa anateswa kuwa ni Valerian Mallya.
Alisema awali, polisi huyo alipigiwa simu na Mtendaji wa mtaa wa Chang'ombe Juu, akimjulisha kuwa amepokea taarifa kutoka kwa Oliva...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Baba Mbeya aua mwanae kwa ngumi
MKAZI wa Kijiji cha Isisi, wilayani Mbarali, Patrick Njolo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwanae kwa kumpiga ngumi. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema jana kuwa...
5 years ago
CCM BlogMTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...
11 years ago
Bongo501 Aug
Video: Mama amtuma mtoto kwa baba yake kwa kumfunga kama kifurushi (parcel)
10 years ago
GPLMTOTO WA CHRISTIANO RONALDO AONYESHA KIWANGO KWA KUUCHEZEA MPIRA KAMA BABA YAKE
11 years ago
Michuzi28 Feb
MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE
Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...
10 years ago
Bongo505 Nov
Video: Abba Marcus (mtoto wa Jose Chameleone) akipagawisha mashabiki kwa kulishambulia jukwaa na baba yake
9 years ago
MichuziMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...