Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba Mbeya aua mwanae kwa ngumi

MKAZI wa Kijiji cha Isisi, wilayani Mbarali, Patrick Njolo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwanae kwa kumpiga ngumi. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema jana kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO AUAWA NA BABA YAKE KWA KUPIGWA NGUMI MKOANI MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi. KATIKA TUKIO LA KWANZA:
MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA VANESA PATRICK NJOJO (03) MKAZI WA ISISI, WILAYANI MBARALI ALIUAWA KWA KUPIGWA NGUMI NA BABA YAKE MZAZI AITWAYE PATRICK NJOJO (23) MKAZI WA ISISI. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 26.04.2014 MAJIRA YA SAA 23:45 USIKU HUKO KATIKA KIJIJI CHA ISISI, KATA NA TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA. INADAIWA KUWA...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi aua mwenzake kwa ngumi.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ilola, Kata ya Ilola Itwangi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani hapa, mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwenzake kwa kumpiga ngumi kichwani na kuangukia kisogo, wakati wakigombea daftari waliloazima.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, jana alisema tukio hilo lilitokea juzi saa...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba aua mtoto kwa makonde

Watoto wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwamo la mtoto wa miaka mitatu aliyepoteza maisha baada ya baba yake kumchakaza kwa makonde.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba aua mtoto kwa fimbo

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...

 

9 years ago

Bongo5

Baba yake Paul Walker naye awashtaki Porsche kwa kifo cha mwanae

Paul-Walker

Baba yake na Paul Walker Jumatano hii amewasilisha mashtaka dhidi ya kampuni ya magari ya Porsche akidai kuwa gari ambalo mwanae alikuwa akiendesha lilikosa vitu vya kiusalama ambavyo vingeweza kuokoa maisha yake.

Paul-Walker

Muigizaji huyo wa Fast & Furious alifariki November 2013 kwenye ajali mbaya ya gari huko Santa Clarita, Calif., iliyomuua pia rafiki yake Roger Rodas, dereva wa gari aina ya 2005 Porsche Carrera GT.

Mashtaka hayo ni kama yale yaliyowasilishwa na mtoto wa Meadow, ...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba aua baba, mtoto

Simba amevamia nyumba ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Sitalike wilayani Mlele mkoani Katavi na kuwaua watu wawili.

 

11 years ago

Habarileo

Baba aua mwanawe chekechea

MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.

 

11 years ago

GPL

BABA ACHOMA MOTO MWANAE

Stori: Francis godwin, Iringa
HUU ni ukatili uliopitiliza! Wakati  wanaharakati mbalimbali nchini wakiwemo wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) wakipinga vikali vitendo vya ukatili, baba  wa kufikia, Musa Mdetela, mkazi wa mjini hapa anasakwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto miguuni wanaye wa kambo. Mdetela anadaiwa kuwafanyia unyama huo watoto hao, Baraka anayesoma darasa la kwanza na Mudi wa darasa la sita ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Baba aua watoto watano-Marekani

Mwanamume mmoja raia wa Marekani anashukiwa kuwaua watoto wake watano na kuwatupa katika jimbo jingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani