Mwanafunzi aua mwenzake kwa ngumi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ilola, Kata ya Ilola Itwangi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani hapa, mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwenzake kwa kumpiga ngumi kichwani na kuangukia kisogo, wakati wakigombea daftari waliloazima.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, jana alisema tukio hilo lilitokea juzi saa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Mwanafunzi aua mwenzake darasani wakigombea daftari
Na Kadama Malunde, Shinyanga
MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Ilola, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Mkoa wa Shinyanga, Veronica Venance (12), amefariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake wakati wakigombea daftari darasani.
Tukio hilo limetokea juzi mchana wakati wanafunzi hao wakiwa darasani wakiendelea na masomo.
Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu tukio hilo, Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ilola, Mahona Joseph, alidai lilitokea wakati Veronoca alipong’ang’ania...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Baba Mbeya aua mwanae kwa ngumi
MKAZI wa Kijiji cha Isisi, wilayani Mbarali, Patrick Njolo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwanae kwa kumpiga ngumi. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema jana kuwa...
9 years ago
Habarileo24 Dec
Askari aua mwenzake lindoni, ajiu
ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko kwa risasi na baadaye kujiua kwa risasi na kufa papo hapo.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Aua mwanafunzi, ala ubongo, ajikata uume
FRANCIS Fortunatus (9), mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Marangu Hills Academy, ameuawa kinyama na mtu anayedaiwa kuwa mfanyakazi wao baada ya kumcharanga kwa mapanga kichwani na kisha kula...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
NYANZA: Mwanafunzi kidato cha II auawa akimwokoa mwenzake asibakwe
11 years ago
GPLHAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mchina mbaroni kwa kumteka mwenzake
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka nyara Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viatu vya Plastiki (Yeboyebo), Li Cheng Weng (54) baada ya kumtishia kwa silaha.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70shEKr1*TgA9JleJRMEyGSLB-pM5b3HKzCsUS3kTSddZvNncWeopC*i860BSq-9CkzJbcP*2r*oZo1Cl*MX20Qe/SHAMSA.gif?width=650)
SHAMSA AONESHA JEURI KWA MZAZI MWENZAKE
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Kizimbani kwa kujeruhi, kumtembeza utupu mwenzake
ZAITUNI Ally (30) mkazi wa manispaa ya Morogoro amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi na kumdhalilisha mwanamke mwenzie kwa kumtembeza mtupu mbele...