Askari aua mwenzake lindoni, ajiu
ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko kwa risasi na baadaye kujiua kwa risasi na kufa papo hapo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Feb
Mwanafunzi aua mwenzake kwa ngumi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Longinus-26Feb2015.jpg)
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ilola, Kata ya Ilola Itwangi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani hapa, mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwenzake kwa kumpiga ngumi kichwani na kuangukia kisogo, wakati wakigombea daftari waliloazima.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, jana alisema tukio hilo lilitokea juzi saa...
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Mwanafunzi aua mwenzake darasani wakigombea daftari
Na Kadama Malunde, Shinyanga
MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Ilola, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Mkoa wa Shinyanga, Veronica Venance (12), amefariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake wakati wakigombea daftari darasani.
Tukio hilo limetokea juzi mchana wakati wanafunzi hao wakiwa darasani wakiendelea na masomo.
Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu tukio hilo, Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ilola, Mahona Joseph, alidai lilitokea wakati Veronoca alipong’ang’ania...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Mlinzi auawa lindoni Moro
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Polisi Wauana kwa Risasi Mwanza Wakiwa Lindoni
![1](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/146-1024x763.jpg)
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Amuua utingo mwenzake
MKAZI wa Temeke, Abdallah Killiah, ambaye ni Utingo, amefariki dunia baada ya kugongwa na gari la mizigo lililokuwa likiendeshwa na utingo baada ya dereva wake kuliacha na kufuatilia kontena kwenye...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Amuua mwenzake wakigombea sigara
11 years ago
Habarileo18 Feb
Amuua mwenzake wakigombea 10,000/-
MKAZI wa Kijiji cha Nyangoto Nyamongo Tarafa ya Ingwe Tarime mkoani Mara, Mwita Samson (23) ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na Munyaru Waigama katika ugomvi wa kugombea Sh 10,000.