Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlinzi auawa lindoni Moro

Watu watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Morogoro likiwemo la mlinzi wa mnara wa kampuni ya simu kuuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani wakati akiwa lindoni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MLINZI WA MAHAKAMA AUAWA KIKATILI, MOROGORO

Mwili wa mlinzi huyo ukiingizwa kwenye gari la polisi ili kupelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Watu wasiojulikana wamemuua mtu mmoja anayedaiwa kuwa mlinzi wa Mahakama ya Kinguluwira mjini Morogoro (jina lake halijajulikana bado) kwa kumkata panga kichwani na kunyofoa baadhi ya viungo vyake, kisha kutupa mwili wake katika mashamba ya Pangawe mjini Morogoro. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, mwili huo ulikutwa ukiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MLINZI WA MAHAKAMA AUAWA KIKATILI MKOANI MOROGORO

Watu wasiojulikana wamemuua mtu mmoja anayedaiwa kuwa mlinzi wa Mahakama ya Kinguluwira mjini Morogoro (jina lake halijajulikana bado) kwa kumkata panga kichwani na kunyofoa baadhi ya viungo vyake, kisha kutupa mwili wake katika mashamba ya Pangawe mjini Morogoro.Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, mwili huo ulikutwa ukiwa umeharibika vibaya huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolewa.Kwa mujibu wa mashuhuda na ndugu wa marehemu wamesema mtu huyo alipotea nyumbani takribani siku kumi na mbili...

 

9 years ago

Habarileo

Askari aua mwenzake lindoni, ajiu

ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko kwa risasi na baadaye kujiua kwa risasi na kufa papo hapo.

 

9 years ago

Global Publishers

Polisi Wauana kwa Risasi Mwanza Wakiwa Lindoni

1Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP Justus Kamugisha.   ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko kwa risasi na baadaye na yeye kujiua kwa risasi. Tukio hilo lilitokea jana saa 8.30 mchana jijini Mwanza katika eneo la Benki ya Posta Tawi la Pamba wilayani Nyamagana huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa hakijulikani. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Justus Kamugisha...

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

9 years ago

Mtanzania

Mlinzi wa Lowassa atimuliwa

MTZ jmosi new 24 Nov 2015.indd*Ni ofisa usalama mwandamizi aliyepigana Vita ya Uganda

*Alikuwa ‘bodyguard’ wa Nyerere aliyemfia mikononi

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.

Taarifa zilizolifikia MTANZANIA Jumamosi kutoka vyanzo vyake vya uhakika vilivyo serikalini, zimedai kuwa Tendewa amefukuzwa kazi na mwajiri wake ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi wa shamba ajinyonga

MKAZI wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, Hassan Ngoso (48), ambaye ni mlinzi wa ahamba, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema tukio...

 

11 years ago

Habarileo

Mlinzi wa Ubalozi afa kazini

MLINZI wa Ubalozi wa Iran nchini, Ramadhan Rajab (55), mkazi wa Tabata amekufa ghafla baada ya kuanguka akiwa kazini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mlinzi Mnara wa Sokoine aliyetelekezwa

“Ni mita 300 kutoka eneo ambalo gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine hadi zilipo nyumba zetu, ulisikia mshindo mkubwa wa ulioashiria kuna ajali imetokea katika Barabara Kuu ya Dodoma-Morogoro eneo la Kijiji cha Luhindo, Kata ya Dakawa siku ya Jumatano, Aprili 12 mwaka 1984 mchana ya saa 7. Kumbe ni ajali iliyosababisha kifo cha kiongozi wetu.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani