Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlinzi wa Ubalozi afa kazini

MLINZI wa Ubalozi wa Iran nchini, Ramadhan Rajab (55), mkazi wa Tabata amekufa ghafla baada ya kuanguka akiwa kazini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi afa akiwa kazini

p>WATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mlinzi aliyekuwa ameketi lindoni pake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke,...

 

11 years ago

Habarileo

RPC anusurika kifo, mlinzi wake afa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani na dereva wake, Nuaka Seme wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena baada ya kupata ajali ya gari iliyomuua mlinzi wa kamanda huyo, usiku wa kuamkia jana, eneo la kiwanda cha miwati (TANWAT).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzibua vyoo afa kazini

MZIBUA vyoo aliyefahamika kwa jina moja la Michael au ‘Babu Sele’ anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 40 hadi 45, mkazi wa Mwenge, jijini Dar es Salaam, amefariki dunia baada...

 

11 years ago

Habarileo

Afa kwa kunaswa na umeme kazini

MFANYAKAZI wa kiwanda cha MCL kilichopo Temeke, Joseph Fedolini (40), amekufa papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akiwa kazini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema kifo hicho kilitokea jana usiku katika kiwanda hicho kilichopo maeneo ya Chang'ombe Viwandani.

 

11 years ago

Michuzi

ujumbe wa ubalozi mdogo wa malawi Dubai watembelea ubalozi mdogo wa tanzania Dubai

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania,Dubai leo AMEKUTANA NA MHESHIMIWA GELINA, BALOZI MDOGO WA MALAWI, DUBAI NA UJUMBE WAKE KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MALAWI. Mheshimiwa Omar Mjenga  akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kulia kwake ni Mheshimiwa Bi Gelina Balozi Mdogo wa Malawi. Na kulia kwa Mheshimiwa Gelina ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu (DAP) kutoka wizara ya mambo ya nje ya Malawi. Kushoto kabisa mwa picha ni Mhasibu Mkuu wa wizara hiyo na kulia...

 

9 years ago

Mtanzania

Mlinzi wa Lowassa atimuliwa

MTZ jmosi new 24 Nov 2015.indd*Ni ofisa usalama mwandamizi aliyepigana Vita ya Uganda

*Alikuwa ‘bodyguard’ wa Nyerere aliyemfia mikononi

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.

Taarifa zilizolifikia MTANZANIA Jumamosi kutoka vyanzo vyake vya uhakika vilivyo serikalini, zimedai kuwa Tendewa amefukuzwa kazi na mwajiri wake ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi wa shamba ajinyonga

MKAZI wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, Hassan Ngoso (48), ambaye ni mlinzi wa ahamba, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema tukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Mlinzi acharangwa mapanga Kilwa

Mlinzi wa shamba la korosho, Abdalah Pwelapwela amevamiwa na kundi la watu waliomcharanga kwa mapanga wakimtuhumu kumjeruhi kwa risasi mwenzao walipovamia shamba hilo na kutaka kuiba korosho.

 

10 years ago

Mtanzania

Mlinzi wa Dk. Slaa atoboa siri

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, zimeendelea kutikisa pembe za nchi huku mlinzi wake binafsi, Khalid Kagenzi, akitoboa siri za mkasa huo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando, kudai mlinzi huyo alikuwa akitumiwa na vyombo vya usalama kwa lengo la kumuua Dk. Slaa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kagenzi alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani