Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RPC anusurika kifo, mlinzi wake afa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani na dereva wake, Nuaka Seme wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena baada ya kupata ajali ya gari iliyomuua mlinzi wa kamanda huyo, usiku wa kuamkia jana, eneo la kiwanda cha miwati (TANWAT).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RPC NJOMBE APATA AJALI NA MLINZI WAKE AFARIKI DUNIA

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ASP Fulgence Ngonyani. Na James Festo, Njombe.

KAMANDA wa polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani  pamoja na dereva wake Nuaka Seme  wamelazwa katika hispitari ya Mkoa wa Njombe ya kibena ambako wanaendelea  kupatiwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea usiku wa kuamkia  jana katika eneo la kiwanda cha Miwati (TANWAT) ambapo katika ajali hiyo askari mwenye cheo cha "constable" alifariki dunia papo hapo.

Akiongea na vyombo vya habari  huku akipatiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi afa akiwa kazini

p>WATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mlinzi aliyekuwa ameketi lindoni pake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke,...

 

11 years ago

Habarileo

Mlinzi wa Ubalozi afa kazini

MLINZI wa Ubalozi wa Iran nchini, Ramadhan Rajab (55), mkazi wa Tabata amekufa ghafla baada ya kuanguka akiwa kazini.

 

10 years ago

GPL

MSUNGU ANUSURIKA KIFO


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya. Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’. Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake...

 

10 years ago

GPL

MAMA ANUSURIKA KIFO

Sehemu ya gari ilipogongwa. Pembeni ni uzio wa magari uliowekwa na kamapuni ya Strabag. Umati wa watu wakiwa eneo la ajali  MAMA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, amenusurika kifo baada ya gari lake aina…

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa anusurika kifo

ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KIFO UBUNGO

Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini. Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
Daladala iliyojitolea kumsaidia…

 

5 years ago

BBCSwahili

Ni kwanini kifo cha mlinzi wa William Ruto, Sajini Kenei kinaibua maswali?

Utata unaozingira kifo cha Sajini Kipyegon Kenei, aliyekuwa mkuu wa usalama katika ofisi ya Naibu Rais wa Kenya Dkt William Ruto unaendelea kuzua maswali mengi kuliko majibu baada ya idara inayochunguza uhalifu (DCI) kudai kwamba kuuawa kwa polisi huyo kunahusiana na matukio katika ofisi ya kiongozi huyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe anusurika kifo ajalini

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara, Kagera kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani