Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afa kwa kunaswa na umeme kazini

MFANYAKAZI wa kiwanda cha MCL kilichopo Temeke, Joseph Fedolini (40), amekufa papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akiwa kazini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema kifo hicho kilitokea jana usiku katika kiwanda hicho kilichopo maeneo ya Chang'ombe Viwandani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi afa kwa shoti ya umeme

FUNDI magari, Mohamed Athuman (52), mkazi wa maeneo ya Wandengereko, Mtoni-Mtongani, Dar es Salaam, amefariki dunia juzi kutokana na hitilafu ya umeme katika waya wa chaji ya simu. Kamanda wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi afa akiwa kazini

p>WATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mlinzi aliyekuwa ameketi lindoni pake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzibua vyoo afa kazini

MZIBUA vyoo aliyefahamika kwa jina moja la Michael au ‘Babu Sele’ anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 40 hadi 45, mkazi wa Mwenge, jijini Dar es Salaam, amefariki dunia baada...

 

11 years ago

Habarileo

Mlinzi wa Ubalozi afa kazini

MLINZI wa Ubalozi wa Iran nchini, Ramadhan Rajab (55), mkazi wa Tabata amekufa ghafla baada ya kuanguka akiwa kazini.

 

10 years ago

GPL

JOHARI ADAIWA KUNASWA KWA MGANGA!

Stori: Hamida hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula (pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga wa kienyeji (jina linahifadhiwa) katika Kijiji cha Kibeta, mjini Bukoba mkoani Kagera. Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula. Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa Johari akiwa katika bodaboda, aliingia kwa mganga huyo wa kike anayefahamika sana...

 

11 years ago

Habarileo

Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo

WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.

 

10 years ago

GPL

ETI MPENZI WAKO HAWEZI KUNASWA NA WAJANJA, KWA KIPI?

NIkweli mapenzi ni imani, yaani kuamini kwamba uliyenaye anakupenda hata kama ukweli unaweza usiwe hivyo. Wengi walio na wapenzi wanajiaminisha kwamba wanavyowapenda wenza wao ndivyo wananvyopendwa. Pia wapo ambao wanaamini kwamba eti kwa namna wanavyoonesha mapenzi yao, hata kwa dawa hawawezi kusalitiwa. Utamsikia mwanamke akisema; “bwana wangu mimi kwangu hapindui, ananipenda sana na hawezi kunisaliti’.
Mtu...

 

10 years ago

GPL

AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU

Stori: Dustan shekidele. Morogoro/Risasi
Aibu kubwa! Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani. Muuza genge aliyechezea kichapo baada ya kunaswa na mke wa mtu na kutembezwa mtupu mtaani. Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii,...

 

10 years ago

GPL

KIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA

Mwendesha bodaboda akiendelea kuteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam,  juzi jioni ambapo alidaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani