Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI ADAIWA KUNASWA KWA MGANGA!

Stori: Hamida hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula (pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga wa kienyeji (jina linahifadhiwa) katika Kijiji cha Kibeta, mjini Bukoba mkoani Kagera. Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula. Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa Johari akiwa katika bodaboda, aliingia kwa mganga huyo wa kike anayefahamika sana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwingine adaiwa kunaswa amemeza dawa za kulevya

Mkazi mwingine wa Tabata Liwiti, Maulid Sarahani (39) amenaswa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akidaiwa kumeza zaidi ya kete 83 za dawa za kulevya aina ya Heroie zenye thamani ya zaidi ya Sh70 milioni.

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK ADAIWA KUNASWA NA PIPI 66 ZA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA MIL 215.5 CHINA

Mrembo anayedaiwa kuwa Jack Patrick (akiwa amefunikwa uso) mikononi mwa polisi nchini China baada ya kukutwa na pipi 66 za heroin tumboni. Mwanamitindo Jack Patrick.…

 

11 years ago

Habarileo

Mganga wa kienyeji adaiwa kuiba gari

MGANGA wa kienyeji, Yahaya Michael (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya wizi wa gari.

 

11 years ago

Habarileo

Afa kwa kunaswa na umeme kazini

MFANYAKAZI wa kiwanda cha MCL kilichopo Temeke, Joseph Fedolini (40), amekufa papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akiwa kazini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema kifo hicho kilitokea jana usiku katika kiwanda hicho kilichopo maeneo ya Chang'ombe Viwandani.

 

11 years ago

Habarileo

Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo

WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.

 

10 years ago

GPL

ETI MPENZI WAKO HAWEZI KUNASWA NA WAJANJA, KWA KIPI?

NIkweli mapenzi ni imani, yaani kuamini kwamba uliyenaye anakupenda hata kama ukweli unaweza usiwe hivyo. Wengi walio na wapenzi wanajiaminisha kwamba wanavyowapenda wenza wao ndivyo wananvyopendwa. Pia wapo ambao wanaamini kwamba eti kwa namna wanavyoonesha mapenzi yao, hata kwa dawa hawawezi kusalitiwa. Utamsikia mwanamke akisema; “bwana wangu mimi kwangu hapindui, ananipenda sana na hawezi kunisaliti’.
Mtu...

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

10 years ago

GPL

AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU

Stori: Dustan shekidele. Morogoro/Risasi
Aibu kubwa! Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani. Muuza genge aliyechezea kichapo baada ya kunaswa na mke wa mtu na kutembezwa mtupu mtaani. Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani