Mganga wa kienyeji adaiwa kuiba gari
MGANGA wa kienyeji, Yahaya Michael (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya wizi wa gari.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Rick Ross adaiwa kuiba gari la mke wake
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, William Roberts ‘Rick Ross, amekanusha kuhusika katika wizi wa gari ya mke wake aina ya BMW B7 lililokuwa likitumiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 9.
Msanii huyo na mke wake, Tia Kemp, walilinunua gari hilo kwa ajili ya mtoto wao kwenda nalo shule, lakini mara kwa mara Rick Ross alikuwa akipenda kulitumia kitendo kilichokuwa kikizua ugomvi kati yao wa mara kwa mara.
Mwishoni mwa wiki iliyopita gari hilo lilipotea katika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqyKWcWuGt4X8*1rEX-P7inHgjTh4bKW5-ryYSakFdTchNJRYXFHzPuAMRXqHaW4fJWZ5C92pWPdVRSRm02UO9kX/diamond.jpg?width=650)
20% ANASWA KWA MGANGA WA KIENYEJI
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Kumbe Kingunge ni mganga wa kienyeji!
TUME ya Mabadiliko ya Katiba iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete chini ya uenyekiti wa mstaafu Jaji Joseph Warioba imeshirikisha makundi mbalimbali ya wananchi ingawa kuna mengine yaliyosahauliwa. Nilivutiwa na jina...
11 years ago
GPLWANYWA DAWA YA MGANGA WA KIENYEJI, WAUGUA
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Mganga wa kienyeji amtisha mgombea urais
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Mganga wa kienyeji Muleba aua mtoto
MTOTO Fausta Geofrey (8), mkazi wa wilayani Muleba, ameuawa kikatili kwa imani za kishirikina na mganga wa kienyeji kwa kunyongwa na kisha kukatwakatwa mapanga na kuondolewa baadhi ya viungo vyake,...
11 years ago
Habarileo16 Mar
Jambazi afia kwa mganga wa kienyeji
MKAZI wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero iliyopo Tarafa ya Inchage, Tarime, Nchagwa Marwa Yusuph (35) aliyekuwa akisakwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha wilayani hapa, amekutwa amekufa nyumbani kwa mganga wa kienyeji alikokuwa akitibiwa majeraha.
10 years ago
CloudsFM14 Aug
MGANGA WA KIENYEJI AUAWA KWA RISASI, MAPANGA
Watu wasiofahamika wamemvamia na kumuua mganga wa kienyeji, Salehe Garimoshi (65), mkazi wa Kijiji cha Milala wilayani Mpanda kwa kumpiga risasi kichwani kisha kuukatakata mwili wake kwa mapanga.
Taarifa kutoka eneo la tukio, zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zinadai kuwa baada ya mganga huyo kuvamiwa na watu hao, mmoja wao aliyekuwa na bunduki, alimfyatulia risasi kichwani kisha kuamuru wenzake wamkatekate kwa mapanga.
Kaimu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi, Focus Malengo alisema jana...
11 years ago
GPLMZEE SMALL AMTIMUA MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA KIGOMA, AMSHIKIA PANGA-3