MZEE SMALL AMTIMUA MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA KIGOMA, AMSHIKIA PANGA-3
Mzee Small akiwa saloon. Makala na Saleh Ally JUZI Jumatatu, Mzee Small alikuwa akielezea kuhusiana na namna ambavyo ndugu zake walielekeza lawama kwa mkewe, Mama Said kwamba ni mtu mbaya, yeye akapinga na kutaka waachane na mawazo potofu kwa kuwa amekuwa akijitolea sana hasa katika kipindi hiki kigumu kwake. Mzee Small wakati akiingia saloon. Lakini pamoja na hivyo,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL
11 years ago
GPLKUTOKA MSIBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL TABATA
11 years ago
Michuzi08 Jun
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Kumbe Kingunge ni mganga wa kienyeji!
TUME ya Mabadiliko ya Katiba iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete chini ya uenyekiti wa mstaafu Jaji Joseph Warioba imeshirikisha makundi mbalimbali ya wananchi ingawa kuna mengine yaliyosahauliwa. Nilivutiwa na jina...
11 years ago
GPL20% ANASWA KWA MGANGA WA KIENYEJI
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Mganga wa kienyeji amtisha mgombea urais
11 years ago
GPLWANYWA DAWA YA MGANGA WA KIENYEJI, WAUGUA
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Mganga wa kienyeji Muleba aua mtoto
MTOTO Fausta Geofrey (8), mkazi wa wilayani Muleba, ameuawa kikatili kwa imani za kishirikina na mganga wa kienyeji kwa kunyongwa na kisha kukatwakatwa mapanga na kuondolewa baadhi ya viungo vyake,...
11 years ago
Habarileo16 Mar
Jambazi afia kwa mganga wa kienyeji
MKAZI wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero iliyopo Tarafa ya Inchage, Tarime, Nchagwa Marwa Yusuph (35) aliyekuwa akisakwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha wilayani hapa, amekutwa amekufa nyumbani kwa mganga wa kienyeji alikokuwa akitibiwa majeraha.