MLINZI WA MAHAKAMA AUAWA KIKATILI MKOANI MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-NR_3dpBYF0Q/VaZvpRrtzCI/AAAAAAABRy8/tZyk5aBArr8/s72-c/mlinziwamahakama.jpg)
Watu wasiojulikana wamemuua mtu mmoja anayedaiwa kuwa mlinzi wa Mahakama ya Kinguluwira mjini Morogoro (jina lake halijajulikana bado) kwa kumkata panga kichwani na kunyofoa baadhi ya viungo vyake, kisha kutupa mwili wake katika mashamba ya Pangawe mjini Morogoro.Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, mwili huo ulikutwa ukiwa umeharibika vibaya huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolewa.Kwa mujibu wa mashuhuda na ndugu wa marehemu wamesema mtu huyo alipotea nyumbani takribani siku kumi na mbili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j*z2ryZ7D1wJyMazYRZY4YqJnBxM00gP8f9jrup8RIWihDGmrmN1G9aItNemHNlta28vtq5T1BeujjBgIsuQroi1-wIgsoeW/mlinziwamahakama.jpg)
MLINZI WA MAHAKAMA AUAWA KIKATILI, MOROGORO
11 years ago
Habarileo25 Dec
Aliyemuua kikatili dereva bodaboda, auawa kikatili
WANANCHI wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.
11 years ago
GPLAUAWA KIKATILI KWA MAPANGA
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Mlinzi auawa lindoni Moro
11 years ago
CloudsFM25 Jun
BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa7lPzCa*8sSRln*MWDqjiJvO5piuvfUTApPhE-m6*dm0gz2LN1ZVTfwh1h2UgfX9XrE8StQlnrsfHtKzht0HSve/a.jpg?width=650)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA MKOANI DODOMA
9 years ago
StarTV17 Nov
Polisi mkoani Kilimanjaro yamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamsaka mtuhumiwa wa mauaji ya Kinyama aliyefahamika kwa jina moja la Edward baada ya kuwaua kwa kuwakata mapanga na shoka watoto wake wawili pamoja na mke wake Janeth Lazaro katika Kijiji cha Koboko Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Fulgence Ngonyani amesema mtuhumiwa amefanya unyama huo majira ya saa nane usiku na kutokomea kusikojulikana .
Majina ya Watoto waliouawa ni Glory Edward , Caren Edward...
9 years ago
StarTV05 Oct
Dereva wa Boda boda Nzega auawa kikatili
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Dereva wa pikipiki maarufu kwa jina la Boda boda Hosamu Abdulrahamani (18) mkazi wa Nyasa Nzega mkoani Tabora ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kisha kukata kichwa na sehemu za siri na kuondoka navyo na kupora pikipiki yake.
Tukio hilo limetokea Octobar 3 mwaka huu majira ya saa Nne usiku katika kijiji cha Silimka kata ya Itilo baada ya ushirikiano mkubwa wa boda boda kuutafuta mwili huo na kuupata ...