KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza.
Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao.
Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima.
Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI
11 years ago
MichuziASKARI CHUO CHA POLISI MOSHI WAFANYA UTALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziMTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI ,NUSURA WAENDESHA BODABODA WAMTOE ROHO
9 years ago
MichuziASKARI MOSHI,WANAVYOJIWEKA TAYARI KWA UCHAGUZI WA KESHO
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.Fulgence Ngonyani akipokea taarifa fupi toka kwa kiongozi wa kikosi cha kutuliza ghasia.Askari Polisi wa vikosi mbalimbali vya jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika zoezi maalum.
Asakari Polis wakiimba nyimbo katika zoezi hilo.Baadhi ya viongozi wa jeshi hilo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...
11 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA
5 years ago
CCM BlogASKARI POLISI APATA AJALI
Askari...