MTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI
Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki. Askari katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI ,NUSURA WAENDESHA BODABODA WAMTOE ROHO
11 years ago
GPLKIBAKA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA KUIBA PIKIPIKI
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Mtuhumiwa amuua askari polisi kwa jiwe
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-SNqeSTe-q28/Xn9Dhgpws-I/AAAAAAAAxR8/9elLBNc5ZpkFKjPQyj38GSRZ0Ilay8ZIQCLcBGAsYHQ/s72-c/matukio%252Bpic.jpg)
POLISI TANZANIA WAKAMATA MAGARI YA WIZI 130 NA PIKIPIKI 193
![](https://1.bp.blogspot.com/-SNqeSTe-q28/Xn9Dhgpws-I/AAAAAAAAxR8/9elLBNc5ZpkFKjPQyj38GSRZ0Ilay8ZIQCLcBGAsYHQ/s640/matukio%252Bpic.jpg)
Akizungumza leo Jumamosi Machi 28, 2020 Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCI) Robert Boaz amesema wanawahoji watuhumiwa 128 na pindi upelelezi utakapokamilika sheria itachukua mkondo wake.
“Wanunuzi wa magari yaliyotumika ni muhimu kabla ya kununua wajiridhishe muuzaji ni mmiliki halali kwa kutumia polisi kukagua gari hilo na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TutPqtHSKEY/VNN7ThDmasI/AAAAAAAHB_o/ex3b-jQDxFc/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI
11 years ago
MichuziASKARI CHUO CHA POLISI MOSHI WAFANYA UTALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sy0E4fmzVHy3m2L0uXbbcf-xdS3j1GuWcwzRVKrBLoVm8rgK*VmBVrH7rbIYv1MEmaWgiiwJUPBCGy48xPNOk1W/BACKRISASI.jpg?width=650)
MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Askari amtetea mtuhumiwa mahakamani
KESI ya kughushi inayomkabili mfanyabiashara, Hans Macha imechukua sura mpya baada ya askari polisi E.2982 Johanes Mgendi kutoa ushahidi upande wa mtuhumiwa kwenye kesi hiyo. Mgendi ambaye ni mtaalamu wa...