MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI
![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sy0E4fmzVHy3m2L0uXbbcf-xdS3j1GuWcwzRVKrBLoVm8rgK*VmBVrH7rbIYv1MEmaWgiiwJUPBCGy48xPNOk1W/BACKRISASI.jpg?width=650)
Chande Abdallah Bahati ilioje! Kibaka mmoja aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar juzikati nusura auawe kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira baada ya kunaswa akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la vifaa vya ofisini (stationery) lililopo Bamaga, Mwenge. Kwa mujibu wa wafanyakazi wa duka hilo, mtu huyo aliingia kwa mbwembwe kama mteja wa kawaida akiomba kutolewa fotokopi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaCM0cfE2TsVdaTTDF8PqYK2frUkGpDvismrg-s6Bc-8Hb*-x7Z*ygyGTkEyOxjVAMhtTjHJRaQFj7JQvajDwG4/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Waonywa kutopandisha bei Mwezi Mtukufu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7Ksdskwz3o6DK6JYYa-fEAXsJpLObZYuBUl0kSoUnEXj6398dnDw6BW36ugqAgpOwZT2pvchoS4FTzfh3fWHFt/CHEKANAKITIME.jpg)
MWEZI MTUKUFU, DHAMBI ZOTE POO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wXsASYapn4rG7V673y8P8aEb88xk4LWm0Q2ExiEZZJX-Wkd89fJ4kcTuKg7VB9uz1PLciKthekwUqEJn12JJ4B6/amini.jpg?width=650)
MWEZI MTUKUFU MKOROGO UTANIKOMA - MAIMARTHA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dA1zu_LdYa4/VZAfYmZpM8I/AAAAAAADuBg/Oh-kQfwo6jw/s72-c/4b7915542f7edae79870e4afa53a312c.jpg)
NGUO ZA MWEZI MTUKUFU NA EID ZIMEWASILI DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-dA1zu_LdYa4/VZAfYmZpM8I/AAAAAAADuBg/Oh-kQfwo6jw/s640/4b7915542f7edae79870e4afa53a312c.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hkjARShYk8E/U4-4TBojY3I/AAAAAAAFnwU/v3qnAh2WAa8/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Mualiko wa Kongamano la 6 la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
![](http://3.bp.blogspot.com/-hkjARShYk8E/U4-4TBojY3I/AAAAAAAFnwU/v3qnAh2WAa8/s1600/unnamed+(14).jpg)
TAMPRO ni Taasisi ya wanataaluma wa Kiislamu katika fani mbali mbali iliyosajiriwa Mwaka 1997 kwa lengo la kuwaleta pamoja wanataaluma wa kiislamu kulitumikia taifa huku...
11 years ago
Habarileo29 Jun
RC aonya watakaopaisha bei za bidhaa mwezi mtukufu
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kutopandisha bei ya bidhaa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--GjTSxxCg8w/XqGfVZsy6VI/AAAAAAAA_e8/MsIGxVXfD4kxvp7GcvYBPTweStH9bKBJQCNcBGAsYHQ/s72-c/1e943c61-0fde-4a0b-b71f-cb67c7b20b80.jpg)
DK. SHEIN ATOA SALAMU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
![](https://1.bp.blogspot.com/--GjTSxxCg8w/XqGfVZsy6VI/AAAAAAAA_e8/MsIGxVXfD4kxvp7GcvYBPTweStH9bKBJQCNcBGAsYHQ/s400/1e943c61-0fde-4a0b-b71f-cb67c7b20b80.jpg)
Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja na kujihifadhi na...
5 years ago
MichuziDKT SHEIN ATOA SALAM ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN