MWEZI MTUKUFU, DHAMBI ZOTE POO!
![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7Ksdskwz3o6DK6JYYa-fEAXsJpLObZYuBUl0kSoUnEXj6398dnDw6BW36ugqAgpOwZT2pvchoS4FTzfh3fWHFt/CHEKANAKITIME.jpg)
Wakati nilikuwa mdogooo tulikuwa na taratibu za kuwekeana ‘poo’. Katika utaratibu huo ilikuwa mnawekeana makubaliano na mwenzio au wenzio mliokuwa nao kuwa kila kitu kinasimama mpaka baadaye bila kukorofishana. Kwa mfano kama mlikuwa mnacheza mchezo wa kujificha, ghafla unaitwa kwenu, basi utatoka ulikokuwa umejificha huku unawaambia wenzio, ‘Jamani poo nimeitwa na mama’ basi unaruhusiwa kwenda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURfKXXNeoHpzayWVXDfB-GSNxQ6a0csmCrGFx31r5BcjPX-IL3ubqNIS-ENSWas6Q3JcrKmzbo5qqxGcsi8iPU1/ANTYLULU.jpg?width=650)
AUNTY LULU: NITAFANYA DHAMBI ZOTE SI USAGAJI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sy0E4fmzVHy3m2L0uXbbcf-xdS3j1GuWcwzRVKrBLoVm8rgK*VmBVrH7rbIYv1MEmaWgiiwJUPBCGy48xPNOk1W/BACKRISASI.jpg?width=650)
MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Waonywa kutopandisha bei Mwezi Mtukufu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wXsASYapn4rG7V673y8P8aEb88xk4LWm0Q2ExiEZZJX-Wkd89fJ4kcTuKg7VB9uz1PLciKthekwUqEJn12JJ4B6/amini.jpg?width=650)
MWEZI MTUKUFU MKOROGO UTANIKOMA - MAIMARTHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaCM0cfE2TsVdaTTDF8PqYK2frUkGpDvismrg-s6Bc-8Hb*-x7Z*ygyGTkEyOxjVAMhtTjHJRaQFj7JQvajDwG4/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dA1zu_LdYa4/VZAfYmZpM8I/AAAAAAADuBg/Oh-kQfwo6jw/s72-c/4b7915542f7edae79870e4afa53a312c.jpg)
NGUO ZA MWEZI MTUKUFU NA EID ZIMEWASILI DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-dA1zu_LdYa4/VZAfYmZpM8I/AAAAAAADuBg/Oh-kQfwo6jw/s640/4b7915542f7edae79870e4afa53a312c.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hkjARShYk8E/U4-4TBojY3I/AAAAAAAFnwU/v3qnAh2WAa8/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Mualiko wa Kongamano la 6 la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
![](http://3.bp.blogspot.com/-hkjARShYk8E/U4-4TBojY3I/AAAAAAAFnwU/v3qnAh2WAa8/s1600/unnamed+(14).jpg)
TAMPRO ni Taasisi ya wanataaluma wa Kiislamu katika fani mbali mbali iliyosajiriwa Mwaka 1997 kwa lengo la kuwaleta pamoja wanataaluma wa kiislamu kulitumikia taifa huku...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--GjTSxxCg8w/XqGfVZsy6VI/AAAAAAAA_e8/MsIGxVXfD4kxvp7GcvYBPTweStH9bKBJQCNcBGAsYHQ/s72-c/1e943c61-0fde-4a0b-b71f-cb67c7b20b80.jpg)
DK. SHEIN ATOA SALAMU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
![](https://1.bp.blogspot.com/--GjTSxxCg8w/XqGfVZsy6VI/AAAAAAAA_e8/MsIGxVXfD4kxvp7GcvYBPTweStH9bKBJQCNcBGAsYHQ/s400/1e943c61-0fde-4a0b-b71f-cb67c7b20b80.jpg)
Pia aliwatakia waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi huu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali ikiwemo sadaka na zaka na mengineyo pia kuondokana na mikusanyiko isiyofaa kuyaepuka maradhi yaliyoingia Duniani kote na kufuatana maelekezo yanayotolewa na Viongozi wao pamoja na kujihifadhi na...
11 years ago
Habarileo29 Jun
RC aonya watakaopaisha bei za bidhaa mwezi mtukufu
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kutopandisha bei ya bidhaa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.