Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchina mbaroni kwa kumteka mwenzake

JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka nyara Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viatu vya Plastiki (Yeboyebo), Li Cheng Weng (54) baada ya kumtishia kwa silaha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

MCHINA MBARONI KWA UJAMBAZI

Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi, akiwamo raia mmoja wa China.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watu hao walikamatwa na bastola aina ya shortgun na risasi 98.

Alisema kati ya watu ambao inadaiwa walikuwa wakifanya ujambazi juzi wilayani Mkuranga, kulikuwa na Wachina watatu, lakini wawili walikimbia baada ya polisi kufika eneo la tukio.

Kamanda Matei alidai kuwa Mchina huyo na wenzake walimteka na kumfunga kitambaa usoni raia mmoja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Watano mbaroni kwa ujambazi, yumo Mchina

Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi, akiwamo raia mmoja wa China.

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake wa miaka 15

Na Amiri kilagalila,NjombeMKAZI wa mtaa wa Kivavi mjini Makambako mkoani Njombe Peter paulo Chaula (30) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake mwenye umri wa miaka 15 akionekana kuwa na mazoea kutokana na madai kuwa ni mpenzi wake.
Akizungumza na kituo hiki kwa njia ya simu kamanda Issa amesema mtuhumiwa huyo anashikiliwa na jeshi hilo baada ya kupata taarifa hizo kutoka kwa wananchi.
“Kijana huyu Peter Chaula ni mfanyabiashara,ni hali isiyoyakawaida kwasababu baada...

 

10 years ago

GPL

DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO

Richard Konga, Arusha
DEREVA wa bodaboda, Adinan Adam, mkazi wa Kata ya Olorieni, mkoani Arusha ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumng’ata mdomo Shabani Temba na kuondoka nao. Kijana Shabani Temba aliyepigwa na kung'twa na dereva wa bodaboda, Adinan Adam. Akizungumza kwa uchungu wakati akitoa maelezo katika Kituo Kidogo cha Polisi cha Olorieni, Shabani alisema ameshangazwa kujikuta anapigwa kisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchina ajinyonga kwa kuboronga

Raia mmoja wa China ambaye ni mhandisi katika Kampuni ya Ujenzi ya China Railway Bureu 15 Group inayojenga Daraja la Mto Kilombero, Qin Bao Feng amekufa kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kuboronga katika kazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Alshabaab washukiwa kumteka nyara Chifu

Wanamgambo wanaoaminika kuwa Al Shabaab wamemteka nyara chifu na gari la miraa katika kaunti ya Mandera nchini Kenya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali kwa Mchina Kenya

Mahakama nchini Kenya imemtoza faini ya dola 230,000 raia mmoja mchina kwa kuhusika na biashara haramu ya pembe za ndovu.

 

10 years ago

GPL

MOHAMMED MATUMLA AMCHAPA MCHINA KWA POINTI

Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam usiku huu.

 

11 years ago

Habarileo

Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo

WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani