Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOHAMMED MATUMLA AMCHAPA MCHINA KWA POINTI

Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam usiku huu.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FLOYD MAYWEATHER AMCHAPA MANNY PACQUIAO KWA POINTI

Floyd Mayweather akipozi na mikanda yake baada ya kumchapa Manny Pacquiao kwa pointi. Mabondia hao wakitupiana masumbwi wakati wa mpambano huo. BONDIA wa Marekani, Floyd Mayweather amemchapa mpinzani wake raia wa Ufilipino, Manny Pacquiao kwa pointi katika mpambano wao wa karne uliopigwa Ukumbi wa GMG Grand jijini Las Vegas leo…

 

11 years ago

GPL

MOHAMED MATUMLA AMGALAGAZA NASSIBU RAMADHANI KWA POINTI,AIBUKA NA PIKIPIKI

Bondia Mohammed Matumla (kushoto) akimwadhibu Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika siku ya sikukuu ya Krismasi na kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9 Matumla alishinda kwa pointi mpambano huo na kuibuka na bodaboda.
Bondia Mohamed Matumla (kushoto) akipambana na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ambapo Matumla alishinda kwa pointi.…
...

 

10 years ago

Mwananchi

Mchina ampania Matumla

Bondia wa China, Wang Xin Hua amewasili nchini jana na kutoa onyo kwa mpinzani wake Mohamed Matumla Jr, akisema kuwa amekuja kushinda.

 

10 years ago

GPL

MATUMLA ALIVYOMCHAKAZA MCHINA

        Bondia Mohamed Matumla akitangazwa kuwa mshindi wa pambano hilo baada ya kumchakaza mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua. Konde la Mchina likimuingia…

 

10 years ago

GPL

MATUMLA NA MCHINA WAPIMA UZITO WAVAANA KESHO

Refarii namba moja, Francois Botha akiwasili kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari ‘Maelezo’. Waandishi wa habari wakiwa kazini. Wang Xin Hua raia wa China atakayepambana na Matumla kesho, akipima uzito.…

 

10 years ago

Michuzi

Bondio Mohamed Matumla kuzichapa na Mchina machi 27

Bondia Mohamed Matumla atapanda ulingoni kuzichapa kuwania ubingwa wa dunia wa WBF Machi 27 dhidi ya Wang Xin Hua wa China.
Pambano hilo la raundi 12 la uzani wa Bantam limepangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa pia na bingwa wa zamani wa dunia wa uzani wa juu, Francois Botha.
Promota wa pambano hilo, Jay Msangi alisema jana kuwa maandalizi yote yamekamilika na pambano litasimamiwa na Shirikisho la ngumi la dunia la WBF ambaye rais wake atawasili...

 

10 years ago

Mtanzania

Matumla, Mchina Xin Hua kudundana leo

pg 32 (2)THERESIA GASPER NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

MABONDIA Mohamed Matumla na Wang Xin Hua wametambiana vikali, huku kila mmoja akijinadi kuibuka mshindi katika pambano la kuwania mkanda wa dunia WBF wa uzani wa Super Bantam Kg 55-57, litakalofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Mabondia hao wametambiana walipokuwa wakipima uzito katika ukumbi wa Maelezo jana, ambapo wote wamekutwa na uzito sawa wa Kg.56.4.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, bondia kutoka China,...

 

10 years ago

Michuzi

MUDDY MATUMLA, MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE

Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitunishiana misuli na Mohamed "Mudy" Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubileeBondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitazamana kwa usongo  na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano huo.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu'...

 

10 years ago

Vijimambo

MUDY MATUMLA MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE

Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubileeBondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitazamana kwa usongo na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano uho Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani