Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUDY MATUMLA MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE

Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubileeBondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitazamana kwa usongo na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano uho Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MUDDY MATUMLA, MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE

Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitunishiana misuli na Mohamed "Mudy" Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubileeBondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitazamana kwa usongo  na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano huo.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu'...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA AWASILI KUMKABILI MUDY MATUMLA IJUMAA

Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa na kulia ni promota wa mpambano uho Jay Msangi bondia Wang Xin Hua kutoka ChinaBondia Wang Xin Hua kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpambano mkali wa ngumi: Matumla Jr vs Wang Xiu Hua leo usiku Diamond Jubilee

Promota Jay Msangi

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ (katikati) akiwainua mikono juu Wang Xin Hua kutoka China ‘kushoto’  na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana.

..Modewji blog itakuletea kila kinachojiri huko kwenye pambano hilo la kihistoria

Ule mpambano wa ngumi wa kukata na shoka unaosubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa Ngumi nchini ambao utakao wakutanisha  bondia anayetoka kwenye familia ya mchezo huo wa ngumi Nchini, Bondia Mohamed Matumla Junior akitarajiwa kupanda...

 

10 years ago

Mtanzania

Matumla, Mchina Xin Hua kudundana leo

pg 32 (2)THERESIA GASPER NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

MABONDIA Mohamed Matumla na Wang Xin Hua wametambiana vikali, huku kila mmoja akijinadi kuibuka mshindi katika pambano la kuwania mkanda wa dunia WBF wa uzani wa Super Bantam Kg 55-57, litakalofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Mabondia hao wametambiana walipokuwa wakipima uzito katika ukumbi wa Maelezo jana, ambapo wote wamekutwa na uzito sawa wa Kg.56.4.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, bondia kutoka China,...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMLA YA MAREKANI YAISHIA DIAMOND JUBILEE,PROMOTA ALALA MBELE



Bondia wa ngumi za kulipwa, Mohammed Matumla. IMEFAHAMIKA kuwa ile safari ya bondia wa ngumi za kulipwa, Mohammed Matumla kwenda kuzichapa katika pambano la utangulizi litakalowakutanisha mabondia Floyd Mayweather Jr dhidi ya Manny Pacquiao nchini Marekani, Mei 2, mwaka huu, inaweza kuwa imeishia kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar.Matumla alipata nafasi hiyo baada ya kumchapa kwa pointi Wang Xin Hua wa China katika pambano la Ubingwa wa Dunia wa WBF ambapo ilielezwa mshindi atasafiri...

 

10 years ago

GPL

MATUMLA ALIVYOMCHAKAZA MCHINA

        Bondia Mohamed Matumla akitangazwa kuwa mshindi wa pambano hilo baada ya kumchakaza mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua. Konde la Mchina likimuingia…

 

10 years ago

Mwananchi

Mchina ampania Matumla

Bondia wa China, Wang Xin Hua amewasili nchini jana na kutoa onyo kwa mpinzani wake Mohamed Matumla Jr, akisema kuwa amekuja kushinda.

 

10 years ago

Michuzi

Bondio Mohamed Matumla kuzichapa na Mchina machi 27

Bondia Mohamed Matumla atapanda ulingoni kuzichapa kuwania ubingwa wa dunia wa WBF Machi 27 dhidi ya Wang Xin Hua wa China.
Pambano hilo la raundi 12 la uzani wa Bantam limepangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa pia na bingwa wa zamani wa dunia wa uzani wa juu, Francois Botha.
Promota wa pambano hilo, Jay Msangi alisema jana kuwa maandalizi yote yamekamilika na pambano litasimamiwa na Shirikisho la ngumi la dunia la WBF ambaye rais wake atawasili...

 

10 years ago

GPL

MATUMLA NA MCHINA WAPIMA UZITO WAVAANA KESHO

Refarii namba moja, Francois Botha akiwasili kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari ‘Maelezo’. Waandishi wa habari wakiwa kazini. Wang Xin Hua raia wa China atakayepambana na Matumla kesho, akipima uzito.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani