MUDDY MATUMLA, MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE
Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed "Mudy" Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee
Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitazamana kwa usongo na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano huo.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu'...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMUDY MATUMLA MCHINA KUPAMBANA LEO IJUMAA DIAMOND JUBILEE
10 years ago
Dewji Blog27 Mar
Mpambano mkali wa ngumi: Matumla Jr vs Wang Xiu Hua leo usiku Diamond Jubilee
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ (katikati) akiwainua mikono juu Wang Xin Hua kutoka China ‘kushoto’ na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana.
..Modewji blog itakuletea kila kinachojiri huko kwenye pambano hilo la kihistoria
Ule mpambano wa ngumi wa kukata na shoka unaosubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa Ngumi nchini ambao utakao wakutanisha bondia anayetoka kwenye familia ya mchezo huo wa ngumi Nchini, Bondia Mohamed Matumla Junior akitarajiwa kupanda...
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Matumla, Mchina Xin Hua kudundana leo
THERESIA GASPER NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
MABONDIA Mohamed Matumla na Wang Xin Hua wametambiana vikali, huku kila mmoja akijinadi kuibuka mshindi katika pambano la kuwania mkanda wa dunia WBF wa uzani wa Super Bantam Kg 55-57, litakalofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Mabondia hao wametambiana walipokuwa wakipima uzito katika ukumbi wa Maelezo jana, ambapo wote wamekutwa na uzito sawa wa Kg.56.4.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, bondia kutoka China,...
10 years ago
Vijimambo06 Apr
SAFARI YA MATUMLA YA MAREKANI YAISHIA DIAMOND JUBILEE,PROMOTA ALALA MBELE
Bondia wa ngumi za kulipwa, Mohammed Matumla. IMEFAHAMIKA kuwa ile safari ya bondia wa ngumi za kulipwa, Mohammed Matumla kwenda kuzichapa katika pambano la utangulizi litakalowakutanisha mabondia Floyd Mayweather Jr dhidi ya Manny Pacquiao nchini Marekani, Mei 2, mwaka huu, inaweza kuwa imeishia kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar.Matumla alipata nafasi hiyo baada ya kumchapa kwa pointi Wang Xin Hua wa China katika pambano la Ubingwa wa Dunia wa WBF ambapo ilielezwa mshindi atasafiri...
10 years ago
GPLMATUMLA ALIVYOMCHAKAZA MCHINA
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Mchina ampania Matumla
10 years ago
GPLMOHAMMED MATUMLA AMCHAPA MCHINA KWA POINTI
10 years ago
MichuziBondio Mohamed Matumla kuzichapa na Mchina machi 27
Pambano hilo la raundi 12 la uzani wa Bantam limepangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa pia na bingwa wa zamani wa dunia wa uzani wa juu, Francois Botha.
Promota wa pambano hilo, Jay Msangi alisema jana kuwa maandalizi yote yamekamilika na pambano litasimamiwa na Shirikisho la ngumi la dunia la WBF ambaye rais wake atawasili...