Watano mbaroni kwa ujambazi, yumo Mchina
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi, akiwamo raia mmoja wa China.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM23 Oct
MCHINA MBARONI KWA UJAMBAZI
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi, akiwamo raia mmoja wa China.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watu hao walikamatwa na bastola aina ya shortgun na risasi 98.
Alisema kati ya watu ambao inadaiwa walikuwa wakifanya ujambazi juzi wilayani Mkuranga, kulikuwa na Wachina watatu, lakini wawili walikimbia baada ya polisi kufika eneo la tukio.
Kamanda Matei alidai kuwa Mchina huyo na wenzake walimteka na kumfunga kitambaa usoni raia mmoja wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Watano mbaroni kwa ujambazi Moro, Dom
OPERESHENI maalum iliyoshirikisha askari polisi wa mikoa ya Morogoro na Dodoma, imefanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa watano wanaodaiwa kuhusika na matukio ya ujambazi na ujangili wakiwa na bunduki moja. Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo24 Oct
Mchina mbaroni kwa kumteka mwenzake
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka nyara Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viatu vya Plastiki (Yeboyebo), Li Cheng Weng (54) baada ya kumtishia kwa silaha.
11 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Kada CCM mbaroni kwa ubakaji, ujambazi
JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Busega ambaye ni Mwenyekiti wa Kata ya Mawamanyili, wilayani Busega kwa tuhuma za ujambazi na ubakaji. Pia...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Watu 71 mbaroni Dar kwa ujambazi, madawa
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAOTUHUMIWA KWA UJAMBAZI WA SILAHA WATIWA MBARONI JIJINI DAR



10 years ago
Habarileo28 Apr
Watano watiwa mbaroni kwa upigaji ramli
WATU watano wa kijiji cha Mheza kilichopo Kata ya Mhinduro wilayani Mkinga wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa wakipiga ramli za uchonganishi zilizolenga kufichua wachawi.
10 years ago
Vijimambo
Kura za Maoni CCM: Mawaziri Watano Waanguka.......Yumo Chikawe,Sillima,Mahanga na Makalla ,Aden Rage Pia Kaanguka!!

Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia chama tawala, yameanza kuanikwa, huku yakionesha kuwa baadhi ya mawaziri, wabunge na watendaji katika chama na serikali wameangushwa.
Kwa mujibu wa matokeo ambayo mtandao huu umeyapata, kwa upande wa mawaziri walioshindwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.Hayo yamethibitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa Lindi, Adelina Gefi aliyesema kura za Chikawe katika jimbo lake la Nachingwea alikokuwa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA MKOANI DODOMA
.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watuhumiwa watatu ambao ni ALEX S/O LETEMA LEWENJE mweye umri wa miaka 20, Mkaguru, ANDREA S/O MAJUTO CHIGUNDULA mwenye umri wa miaka 24, Mkaguru na NABAKI S/O MAUNGO MWIGOE mwnye umri wa miaka 23, Mkaguru wote...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10