Mchina ajinyonga kwa kuboronga
Raia mmoja wa China ambaye ni mhandisi katika Kampuni ya Ujenzi ya China Railway Bureu 15 Group inayojenga Daraja la Mto Kilombero, Qin Bao Feng amekufa kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kuboronga katika kazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Oct
MCHINA MBARONI KWA UJAMBAZI
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi, akiwamo raia mmoja wa China.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watu hao walikamatwa na bastola aina ya shortgun na risasi 98.
Alisema kati ya watu ambao inadaiwa walikuwa wakifanya ujambazi juzi wilayani Mkuranga, kulikuwa na Wachina watatu, lakini wawili walikimbia baada ya polisi kufika eneo la tukio.
Kamanda Matei alidai kuwa Mchina huyo na wenzake walimteka na kumfunga kitambaa usoni raia mmoja wa...
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Adhabu kali kwa Mchina Kenya
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mchina mbaroni kwa kumteka mwenzake
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka nyara Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viatu vya Plastiki (Yeboyebo), Li Cheng Weng (54) baada ya kumtishia kwa silaha.
10 years ago
GPLMOHAMMED MATUMLA AMCHAPA MCHINA KWA POINTI
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Watano mbaroni kwa ujambazi, yumo Mchina
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Mchina kizimbani kwa kuchana noti ya Sh10,000
11 years ago
Habarileo07 Jan
Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo
WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
11 years ago
Michuzi30 Apr
NEWS ALERT: MTU MMOJA AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA
KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.
Kamanda Matei amesema kuwa tukio hilo lilitokea leo Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5...