Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchina kizimbani kwa kuchana noti ya Sh10,000

>Raia wa China ambaye ni meneja uzalishaji katika kampuni ya ujenzi  Shen Hai,46, amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuchana noti ya shilingi 10,000 ambayo ni mali ya Serikali ya Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Noti bandia zawafikisha askari kizimbani

Na Samwel Mwanga, Simiyu
ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi na Magereza waliokamatwa na noti bandia na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu, wakikabiliwa na makosa mawili.
Washtakiwa hao ambao ni wenye namba H 2420 PC Seleman Juma (25) aliyekuwa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na B. 6499 Wdr Edmund Masaga (28) wa Gereza la Wilaya ya Bariadi, walifikishwa mahakamani hapo juzi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama...

 

10 years ago

Mwananchi

Faini ya Sh10,000 ya ngono ni dhihaka

Ni usiku na giza limetanda. Nakatiza mitaa ya Buguruni Madenge na Malapa jijini Dar es Salaam, nashuhudia wanawake wamejilaza kwenye vibaraza, mbele ya nyumba zao wakitumia mwanga wa vibatari.

 

10 years ago

TheCitizen

Economist calls for note higher than Sh10,000

It is time the Bank of Tanzania issues currencies of higher denominations than Sh10,000 for security reasons and to make transactions easier, an economist has suggested.

 

9 years ago

TheCitizen

CANDID TALK : Day my bladders cost me a cool Sh10,000

Sometimes, I think that most Uswaz men ought to earn esteemed tittle minister for “Wetlands and Irrigation”. This is because of our penchant for playing God by raining on anything within our sight. If the “Passport Size Latrines” happen to be far away, and our bladders threaten to do balloon-bursts, we don’t shy from wetting anything in our sight; walls, trees, protected parks and so forth.

 

10 years ago

Mwananchi

BoT kufanyia kazi noti ya Sh1,000

Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema imeanza kufanyia kazi malalamiko ya kukosewa kwa picha ya Rais wa kwanza wa Tanzania, Marehemu Mwalimu Julius Nyerere.

 

10 years ago

Mwananchi

Akiri kukutwa na noti bandia Sh70,000

Mkazi wa Rumala wilayani Ilemela, Erick Godwin (21) amekiri kukutwa na fedha bandia ambazo kama zingekuwa halisi zingekuwa na thamani ya Sh70,000, lakini akadai hakuwa anafahamu lolote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abdallah Juma ang’ara kwa kuchana nyavu ‘Mchangani’ 

MSHAMBULIAJI wa timu ya Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania bara, Abdallah Juma ameibukia mashindano ya mchangani ‘ndondo’ akiwa na timu ya Makumira FC  inayoshiriki michuano ya TPC Challenge iliyoanza...

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani