Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abdallah Juma ang’ara kwa kuchana nyavu ‘Mchangani’ 

MSHAMBULIAJI wa timu ya Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania bara, Abdallah Juma ameibukia mashindano ya mchangani ‘ndondo’ akiwa na timu ya Makumira FC  inayoshiriki michuano ya TPC Challenge iliyoanza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWISHO WA ZIARA YA SWAHILI BLUES BAND WAFANA VILIVYO- JUMA SETUMBI ANG'ARA


Mkongwe Dr Mulatu akijituma

Dr Mulatu akikong'ori vigoma vyake
Dr Mulatu na Leo wakishebedue
Ziara ya Swahili Blues Band mjini Addis Ababa ilimalizika rasmi siku ya Jumamosi ya tarehe 11 April 2015 katika klabu mpya na maarufu ya African Jazz Village.

Kama ilivyo kawaida, shoo ilianza rasmi saa tatu na nusu usiku pale Swahili Blues Band ilipopanda jukwaani na kuanza kuporomosha nyimbo zao mfululizo. Waliendelea na midundo hiyo kwa muda wa saa moja na ilipotimia saa nne na nusu ndipo Leo Mkanyia...

 

10 years ago

Vijimambo

MWISHO WA ZIARA YA SWAHILI BLUES BAND WAFANA VILIVYO NCHINI ETHIOPIA- JUMA SETUMBI ANG'ARA


Mkongwe Dr Mulatu akijituma
Dr Mulatu akikong'ori vigoma vyakeDr Mulatu na Leo wakishebedue
Ziara ya Swahili Blues Band mjini Addis Ababa ilimalizika rasmi siku ya Jumamosi ya tarehe 11 April 2015 katika klabu mpya na maarufu ya African Jazz Village.

Kama ilivyo kawaida, shoo ilianza rasmi saa tatu na nusu usiku pale Swahili Blues Band ilipopanda jukwaani na kuanza kuporomosha nyimbo zao mfululizo. Waliendelea na midundo hiyo kwa muda wa saa moja na ilipotimia saa nne na nusu ndipo Leo Mkanyia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mdau Maneno Abdallah alivyong’ara na Mkewe Bi Nusrat Tahwa

IMG_0358

Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana.

 Bwana harusi akielekea kuchukua jiko lake Kimara huku akisindikizwa na wapambe na Mshenga wake  Dua ikiendelea nyumbani kwa Mwanamke Kimara kabla ya ndoa kufungwa na Maneno kuondoka na Jiko lake  Nderemo na vifijo  Mtu akilia mara baada ya dada yake kuchukuliwa   Kaswida maridhawa akipigwa na watoto wa madrasa  Akifungishwa Ndoa hapo jana  Baba wa bi harusi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Messi ang'ara dhidi ya Deportivo

Nyota Lionel Messi wa Barcelona aliifungia timu yake mabao matatu dhidi ya Deportivo La Coruna na kuibuka na ushindi wa 4-0.

 

11 years ago

Mwananchi

Samata ang’ara, Al Ahly chali

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata alifunga bao pekee na kuiongoza TP Mazembe ya DR  Congo kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mabingwa watetezi Al Ahly wakiaga mashindano kwa kuchapwa 3-2 nyumbani na Al Ahly Benghazi ya Libya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Janet Mbene ang’ara Songwe

DSC_9807

Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Malangali.

DSC_9824

DSC_9711

Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa Songwe, Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene.

DSC_9771

Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya...

 

11 years ago

Mtanzania

Uhuru Kenyatta ang’ara Afrika

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

WASHINGTON, Marekani

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewapiku marais wenzake wa Afrika Mashariki kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufanisi wa kazi, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Gallup la nchini Marekani.

Utafiti huo ulitolewa jana ambapo licha ya Rais Kenyatta kuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja ameweza kuwapiku wenzake waliodumu madarakani kwa muda mrefu.

Pamoja na Rais Jakaya Kikwete, kuingoza nchi kwa mwaka wa tisa sasa utafiti huo umeshindwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtanzania ang’ara Uhuru Marathon

Dar es Salaam. Mwanariadha, Jacqueline Juma alipeperusha vema bendera ya Tanzania jana kwenye mbio za Uhuru Marathon baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika nusu marathon (km 21).

 

11 years ago

Habarileo

Naibu Waziri ang’ara duniani

NAIBU Waziri wa Sheria na Katiba, Angella Kairuki ameteuliwa kuwa miongoni mwa Kundi la Viongozi Vijana Duniani kwa mwaka huu. Kairuki aliteuliwa pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Bongo5, Luca Nengesti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani