Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Waziri ang’ara duniani

NAIBU Waziri wa Sheria na Katiba, Angella Kairuki ameteuliwa kuwa miongoni mwa Kundi la Viongozi Vijana Duniani kwa mwaka huu. Kairuki aliteuliwa pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Bongo5, Luca Nengesti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO

Na Mwandishi Watu
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake kuonyesha utendaji kazi wa hali ya juu.
Tuzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa ufanisi. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hilton jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtanzania ang’ara Uhuru Marathon

Dar es Salaam. Mwanariadha, Jacqueline Juma alipeperusha vema bendera ya Tanzania jana kwenye mbio za Uhuru Marathon baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika nusu marathon (km 21).

 

11 years ago

Mtanzania

Uhuru Kenyatta ang’ara Afrika

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta

WASHINGTON, Marekani

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewapiku marais wenzake wa Afrika Mashariki kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufanisi wa kazi, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Gallup la nchini Marekani.

Utafiti huo ulitolewa jana ambapo licha ya Rais Kenyatta kuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja ameweza kuwapiku wenzake waliodumu madarakani kwa muda mrefu.

Pamoja na Rais Jakaya Kikwete, kuingoza nchi kwa mwaka wa tisa sasa utafiti huo umeshindwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Messi ang'ara dhidi ya Deportivo

Nyota Lionel Messi wa Barcelona aliifungia timu yake mabao matatu dhidi ya Deportivo La Coruna na kuibuka na ushindi wa 4-0.

 

9 years ago

Dewji Blog

Janet Mbene ang’ara Songwe

DSC_9807

Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Malangali.

DSC_9824

DSC_9711

Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa Songwe, Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene.

DSC_9771

Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata ang’ara, Al Ahly chali

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata alifunga bao pekee na kuiongoza TP Mazembe ya DR  Congo kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mabingwa watetezi Al Ahly wakiaga mashindano kwa kuchapwa 3-2 nyumbani na Al Ahly Benghazi ya Libya.

 

9 years ago

Mtanzania

Taylor Swift ang’ara tuzo Marekani

taylor_swift_MWANAMUZIKI Taylor Swift ametajwa kugombea katika vipengele sita vya tuzo za muziki za American Music Awards (AMAs) za huko Marekani.

Taylor amewapiku The Weekend na Ed Sheeran, waliotajwa katika vipengele vitano, Nicki Minaj, Sam Smith
na Meghan Trainor, wametajwa mara nne ambapo Drake, Chris Brown na Fetty Wap wametajwa mara mbili.

Sherehe za utolewaji tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Novemba 22 mwaka huu...

 

10 years ago

Habarileo

Zitto ang’ara hifadhi ya jamii Afrika

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Messi ang’ara, Ghana yaituliza Ujerumani

Wawakilishi wa Afrika, Ghana wamejiweka njia panda katika harakati zake za kusaka kufuzu kwa hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia baada ya kulazimishwa sare 2-2 na Ujerumani, huku Lionel Messi akiibeba Argentina kwa kuichapa Iran 1-0.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani