Mtanzania ang’ara Uhuru Marathon
Dar es Salaam. Mwanariadha, Jacqueline Juma alipeperusha vema bendera ya Tanzania jana kwenye mbio za Uhuru Marathon baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika nusu marathon (km 21).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Uhuru Kenyatta ang’ara Afrika
![Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Uhuru-Kenyatta.jpg)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
WASHINGTON, Marekani
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewapiku marais wenzake wa Afrika Mashariki kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufanisi wa kazi, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Gallup la nchini Marekani.
Utafiti huo ulitolewa jana ambapo licha ya Rais Kenyatta kuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja ameweza kuwapiku wenzake waliodumu madarakani kwa muda mrefu.
Pamoja na Rais Jakaya Kikwete, kuingoza nchi kwa mwaka wa tisa sasa utafiti huo umeshindwa...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Samata ang’ara, Al Ahly chali
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Messi ang'ara dhidi ya Deportivo
11 years ago
Habarileo19 Mar
Naibu Waziri ang’ara duniani
NAIBU Waziri wa Sheria na Katiba, Angella Kairuki ameteuliwa kuwa miongoni mwa Kundi la Viongozi Vijana Duniani kwa mwaka huu. Kairuki aliteuliwa pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Bongo5, Luca Nengesti.
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Janet Mbene ang’ara Songwe
Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Malangali.
Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa Songwe, Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene.
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Messi ang’ara, Ghana yaituliza Ujerumani
10 years ago
Habarileo06 Oct
Zitto ang’ara hifadhi ya jamii Afrika
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika.
9 years ago
Habarileo18 Sep
Mo Dewji ang’ara tuzo wafanyabiashara Afrika
BILIONEA anayemiliki kampuni kubwa ya Mohammed Enterprises nchini (MeTL), Mohammed Dewji ‘Mo’ ameshinda Tuzo ya Mfanyabiashara wa Mwaka anayejitoa zaidi kuisaidia jamii kunufaika, kutokana na biashara zake, akiwa mshindi wa Afrika, Kanda ya nchi za Afrika Mashariki katika tuzo zilizofanyika juzi jijini Nairobi, Kenya.