MWISHO WA ZIARA YA SWAHILI BLUES BAND WAFANA VILIVYO NCHINI ETHIOPIA- JUMA SETUMBI ANG'ARA
Mkongwe Dr Mulatu akijituma
Dr Mulatu akikong'ori vigoma vyakeDr Mulatu na Leo wakishebedue
Ziara ya Swahili Blues Band mjini Addis Ababa ilimalizika rasmi siku ya Jumamosi ya tarehe 11 April 2015 katika klabu mpya na maarufu ya African Jazz Village.
Kama ilivyo kawaida, shoo ilianza rasmi saa tatu na nusu usiku pale Swahili Blues Band ilipopanda jukwaani na kuanza kuporomosha nyimbo zao mfululizo. Waliendelea na midundo hiyo kwa muda wa saa moja na ilipotimia saa nne na nusu ndipo Leo Mkanyia...
Vijimambo